Hahahahahahahahahahaha..............................unajua hawa wanawafanya watu......mazuzuNasi tunawapuuza ninyi Usalama wa Taifa, kwani ndio mliohusika . kama mnakanusha nani sasa anahusika mngetuambia basi tungepuuza vyombo vya habari lakini kamwe hatuwezi kuupuuza ukweli.
Yakanusha kuwa haikupanga kumuua Dr. Ulimboka na kwamaba kinachotangazwa na vyombo vya habari ni vipande vya taarifa visvyo na ukweli wowote na wananchi wapuuze. (source channel ten)
AKUPUUZAE MPUUZE,KWAKWELI JANA NILIPOSOMA LILE GAZETI KUBENE ALIJIPANGA,,,,WHETHER NI UKWELI AU UWONGO,ILE HABARI ILIWAMALIZA TISS,wao walale tu,:sleepy:TISS - wananchi puuzieni tuhuma zote zinazotolewa na gazet moja la kila wiki (?mwanahalisi) juu ya kuhusika kwa usalama wa taifa kumteka dr uli,ni uzushi na hazina ukweli wowote after all tayari polisi wanaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo.source:taarifa channel 10...
MYTAKE: kama taarifa si za ukweli kwa nini wasianze wao kuzipuuza,wanajitetea nini?...mwisho wa ubaya ni aibu!
Tamko hili hapa;
AMKO RASMI KUHUSU TUHUMADHIDI YA IDARA YA USALAMA WATAIFA
Katikasiku za hivi karibuni, kumejitokeza taarifa zenye tuhuma kadhaa dhidi ya Idaraya Usalama wa Taifa. Taarifa hizo zimekuwa zikitolewa kwenye vyombo vya habarizikiihusisha Idara hii na matukio ambayo yanaidhalilisha na kuzua maswali mengikwa wananchi. Kati ya tuhuma hizo ni tukio la kutekwa kwa Dr. STEPHEN ULIMBOKA,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari na madai ya kufanywa kwa mipango yakuwadhuru baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani. Gazeti moja la kila wikilimekuwa likurudia tuhuma hizo mara kwa mara kwa madai kwamba ni habari zauchunguzi na kuihusisha Idara......
Mwapa,jana mdogo wangu alirudi na lile gazeti,binadsi nimesoma habar moja tu,ya DR ULI sijui ni kwanini naambiwa niipuzie ile habariMimi kwa kuisoma mwanahalisi hakuna mtu yeyote awezae kunifanya nisiamini ni wao kubenea alivyochambua mbona kazi rahisi sana kwa polisi.ukimpa ocampo huo ushahidi wa simu anafungwa mtu ndani ya siku tatu tuu.
Hili ndo la kuanza nao,hasa kwa wale walosoma habar ya KUBENEA,PIA NDO WANATUPA JIBU KUWA THEY WERE INOLVED:israel::israel:tuwapuuze tiss kwanza
wanasema watazidi kuunga nguvu na kujiimarisha?ili...........................................kila mtu angeshangaa kama wangekubari kuwa bwana ramadhani ni uwt na ingekuwa ni historia nyingine hiyo