Idara ya uhamiaji itoe namba ya simu tuweze kuripoti taarifa za wahamiaji haramu nchini

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,502
6,403
Kwa sasa nchi yetu imekumbwa na changamoto ya wahamiaji haramu wanaotoka nchi mbalimbali hasa Somalia, Ethiopia, Rwanda, Kenya Na kwingineko huko
Kuna haja sasa ya idara ya uhamiaji Tanzania kusogeza ushirikishwaji wa wananchi ili kuweza kukomesha au kupunguza wahamiaji haramu hapa nchini

Idara ianzishe namba ya simu wananchi tuwapigie simu kuwataarifu juu ya watu hao wanaozamia hapa nchini kwetu bila kufuata utaratibu

Kama PCCB wanayo namba na namna hii, Idara ya uhamiaji nayo iige jambo hili jema kwa ulinzi na usalama wa nchi yetu
 
naunga mkono
pongezi kwa kamanda wa uhamiaji mkoa wa DSM kwa kufanya msako wa wahamiaji haramu.
inawezekana kabisa kuwa mkoa wa DSM inawahamiaji haramu wengi zaidi kuliko mikoa mingine, kuna wasomali wengi sana, wa ethiopia, warundi, wakongo m.k, wapo wanaishi bila kuwa na vibali.
wahamiaji haramu ndio sababu pia za uhalifu ktk nchi yetu.
operesheni iwe endelevu kwa kushirikiana na viongozi wa serikali za mitaa mkoa mzima wa dsm.
 
ACHA UPUMBAVU. TEMBEA UONE!

UMEWAHI KWENDA SOKO LA GIKOMBAA HAPO NAIROBI UONE IDADI YA WATANZANIA WANAOFANYA BIASHARA TENA HAWANA HATA VIBALI?

UMEWAHI KUFIKA LUSAKA AU KITWE ZAMBIA UONE IDADI YA WANDALI NA WANYAKYUSA KUTOKA MBEYA WANAOJIACHIA ZAMBIA BILA VIBALI?

UMEWAHI KUFIKA LILONGWE MALAWI MTAA UNAITWA BLACK STREET UONE WATZ WALIVYOJAA?

KWANINI WATANZANIA TUNA ROHO MBAYA KWA WENZETU??????
AFRIKA NI MOJA TUPENDANE.
 
Muhamiaji
 
Je ndivyo sheria inavyotaka?
Hakuna mtu anayekatazwa kuja kuishi hapa nchini

Shida ni sheria zifuatwe, watu waishi kwa kufuata sheria
ACHA UPUMBAVU. TEMBEA UONE!

UMEWAHI KWENDA SOKO LA GIKOMBAA HAPO NAIROBI UONE IDADI YA WATANZANIA WANAOFANYA BIASHARA TENA HAWANA HATA VIBALI?

UMEWAHI KUFIKA LUSAKA AU KITWE ZAMBIA UONE IDADI YA WANDALI NA WANYAKYUSA KUTOKA MBEYA WANAOJIACHIA ZAMBIA BILA VIBALI?

UMEWAHI KUFIKA LILONGWE MALAWI MTAA UNAITWA BLACK STREET UONE WATZ WALIVYOJAA?

KWANINI WATANZANIA TUNA ROHO MBAYA KWA WENZETU??????
AFRIKA NI MOJA TUPENDANE.
 
ACHA UPUMBAVU. TEMBEA UONE!

UMEWAHI KWENDA SOKO LA GIKOMBAA HAPO NAIROBI UONE IDADI YA WATANZANIA WANAOFANYA BIASHARA TENA HAWANA HATA VIBALI?

UMEWAHI KUFIKA LUSAKA AU KITWE ZAMBIA UONE IDADI YA WANDALI NA WANYAKYUSA KUTOKA MBEYA WANAOJIACHIA ZAMBIA BILA VIBALI?

UMEWAHI KUFIKA LILONGWE MALAWI MTAA UNAITWA BLACK STREET UONE WATZ WALIVYOJAA?

KWANINI WATANZANIA TUNA ROHO MBAYA KWA WENZETU??????
AFRIKA NI MOJA TUPENDANE.
Usihalalishe haramu kwa haramu

Kama wanaishi bila vibali halali nao pia ni wahamiaji haramu, sheria za nchi husika zichukue mkondo wake.
 
Wailete hata muda huu, ninao wahamiaji kutoka tena wapumbavu kweli..muda wote wanapiga majungu tu kama waswahili vile...leteni mawasiliano niwalipue fasta
 
Mkuu nenda ofisi zao zilizopo jirani nawe, namba ingerahisisha sana
Wailete hata muda huu, ninao wahamiaji kutoka tena wapumbavu kweli..muda wote wanapiga majungu tu kama waswahili vile...leteni mawasiliano niwalipue fasta
 
NILIWASIKIA BAADHI YA WANASIASA WA MALAWI WANASEMA ZIWA NYASA/MALAWI NI LAO PEKE YAO.
HAPO NDIO UTAJUA WAAFRIKA VICHWANI WANA MAVI SIO UBONGO!
 
Maputo-Mozambique wanaongea Kireno ila utawakuta watanzania kibao wanapambana na hali zao.
Hapo sijazungumzia hii miji ya kaskazini ya Mozambique karibu na mpaka na tz.

Dunia ni kama kijiji, hii mipaka iliwekwa na mabeberu tu ili kurahisisha kututawala.
WAAFRIKA TUPENDANE.
 
ACHA UPUMBAVU. TEMBEA UONE!

UMEWAHI KWENDA SOKO LA GIKOMBAA HAPO NAIROBI UONE IDADI YA WATANZANIA WANAOFANYA BIASHARA TENA HAWANA HATA VIBALI?

UMEWAHI KUFIKA LUSAKA AU KITWE ZAMBIA UONE IDADI YA WANDALI NA WANYAKYUSA KUTOKA MBEYA WANAOJIACHIA ZAMBIA BILA VIBALI?

UMEWAHI KUFIKA LILONGWE MALAWI MTAA UNAITWA BLACK STREET UONE WATZ WALIVYOJAA?

KWANINI WATANZANIA TUNA ROHO MBAYA KWA WENZETU??????
AFRIKA NI MOJA TUPENDANE.

Sisi ni donor kantreeeee.
 
Pale Tunduma wafanyabiashara wa Tanzania wanaamka asubuhi wanaenda kufanya biashara upande wa Zambia jioni wanarudi. Wanaishi kama ndugu kabisa.
Tukubali tu hii mipaka iliwekwa na wazungu ili kurahisisha makoloni yao.

WAAFRIKA WOTE NI NDUGU!
 
Tuache roho mbaya kama jamaa hao si vibaka au wezi tuishi nao tu,,hii ardhi ya Mola bwana
 
Kwa sasa nchi yetu imekumbwa na changamoto ya wahamiaji haramu wanaotoka nchi mbalimbali hasa Somalia, Ethiopia, Rwanda, Kenya Na kwingineko huko
Kuna haja sasa ya idara ya uhamiaji Tanzania kusogeza ushirikishwaji wa wananchi ili kuweza kukomesha au kupunguza wahamiaji haramu hapa nchini

Idara ianzishe namba ya simu wananchi tuwapigie simu kuwataarifu juu ya watu hao wanaozamia hapa nchini kwetu bila kufuata utaratibu

Kama PCCB wanayo namba na namna hii, Idara ya uhamiaji nayo iige jambo hili jema kwa ulinzi na usalama wa nchi yetu
Hao wote uliowataja ni waafrika wenzetu. Ni ndugu zetu kabisa. Mi nkajua utawataja wahindi na wachina wanaokuja kuchoma mahindi kariakoo!?
 
Back
Top Bottom