Idara ya maji (MWAUWASA) Mwanza mnamhujumu Rais

Idara ya maji (MWAUWASA) Mwanza mnamhujumu Rais

KANYAGWANDA

Member
Joined
Apr 16, 2023
Posts
78
Reaction score
129
Tuna miezi miwili hatupati maji mtani kwetu. Lakini toka ziara ya Mh Raisi ianze kutangazwa kuwa anakuja Mwanza maji hayakati.

Ni siku tatu sasa maji yanatoka siku nzima. Najiuliza maswali mengi bila majibu. Kwamba Samia ametanguliza mabomba mlivyokuwa mnasema yameharibika au ni hujuma za waziwazi watu wamchukie?.

Sijui kama anajua haya.
 
Yule mama mkurugenzi mtendaji wa MWAUWASA ni bure anachoweza kusimamia ni kurusha vipicha tu mtandaoni vya kazi uchwara
 
Back
Top Bottom