Idara ya maji Mbeya ubabaishaji umezidi mnoo

Idara ya maji Mbeya ubabaishaji umezidi mnoo

barnabas masoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
1,299
Reaction score
660
Toka mwezi wa 12 mwaka 2020 inasemekana hamna mita za kuunga wateja wapya na mnawapa mashart ya kutoa 250000 muwaungie maji au wasubiri mita, hizo za kulipia zinatoka wapi.

Nina zaidi ya wiki tatu toka nilipie nmezungushwa miezi miwili nikihitajika toa hela hiyo au nisubiri maji kuunga Mbeya mjini ni Bei kuliko umeme UBABAISHAJI usiokwisha hapo idarani inakuaje
 
Back
Top Bottom