Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,814
- 33,480
Hakuna mtu atapoteza ajira bali wata hamishiwa kwenye vitengo vingine? Hivi unajua sheria za utumishi wa Umma? Kama mgelikuwa mna msikiliza waziri wa tamisemi bungeni wala msingalisema haya hili jambo halikuanza kuongelewa leo!watu wengi watapoteza ajira ila wewe unafurahi eti unabana matumizi
hii nchi tunakwenda wapi ?
Kuna tetesi kuwa kutakuwa na mabadiliko ya Idara na Vitengo katika Halmashauri za Wilaya,Miji na Manisipaa.
Idara zitakuwa ni
1.Utawala,Mipango na Fedha
2.Majengo,Mitambo,Miundombinu na Maji
3.Maliasili,Ardhi,Nyuki na Mazingira
4.Afya,Usafi na Ustawi wa Jamii
5.Elimu
6.Kilimo,Mifugo,Umwagiliaji na Ushirika
VITENGO NI
1.Sheria
2.Ukaguzi wa Ndani
Hili jambo ni jema kwa kiasi fulani maana hadi sasa Idara na Vitengo Ndani za Halmashauri za Wilaya na Miji zilikuwa zaidi ya 18
kwa sasa kutakuwa na Wakuu wa Idara 6 na Vitengo 2 Jumla 8.
Tukichukulia kwa Dhana ya Kupunguza Matumizi (Mishahara) ina maana Wakuu wa Idara na Vitengo 12 katika kila Halmashauri za Wilaya,Miji,Manisipaa lazima Wapigwe chini. Hii inamanisha ktk halmashauri 185@12=2,220x 3,400,000 tutaokoa Tshs 7,548,000,000 kwa mwezi
Swali la msingi ni kuwa MISHAHARA YA HAWA WAKUU WA IDARA NA VITENGO ITASHUSHWA?? NA KUREJEA KWENYE MISHAHARA YA MUUNDO WA VYEO VYAO VYA AWALI KABLA YA UTEUZI WAO???
Na kama ikiwa Hivyo Itabidi kanuni na Taratibu zinazohusu mishashara ya Mfanyakazi inabidi zivunjwe!!
Na kama wataendelea kulipwa Mishahara yao ya Million 3.4 kutakuwa na maana gani ya kupunganisha hizi idara??
kumbe unajitiaga hamnazo tu au ukiwa wa kijani unabadilishana akili na mwanao ?Hakuna mtu atapoteza ajira bali wata hamishiwa kwenye vitengo vingine? Hivi unajua sheria za utumishi wa Umma? Kama mgelikuwa mna msikiliza waziri wa tamisemi bungeni wala msingalisema haya hili jambo halikuanza kuongelewa leo!
Mkuu sifurahii ila ninaandika kutokana na uhalisia wa jambo maana lengo leo la serikali kufanya hvyo ni kupunguza matumiziwatu wengi watapoteza ajira ila wewe unafurahi eti unabana matumizi
hii nchi tunakwenda wapi ?
Ruttashobolwa naye atapigwa panga....atarudia Kazi ya kuuza magazeti na vitabu vya jinsi ya kufanya ngonokumbe unajitiaga hamnazo tu au ukiwa wa kijani unabadilishana akili na mwanao ?
Watahamishiwa kwenye vitengo vingine vipi wakati ndo vimepunguzwa?Hakuna mtu atapoteza ajira bali wata hamishiwa kwenye vitengo vingine? Hivi unajua sheria za utumishi wa Umma? Kama mgelikuwa mna msikiliza waziri wa tamisemi bungeni wala msingalisema haya hili jambo halikuanza kuongelewa leo!
duuuh haaaahaaa umetisha ina mana huko kuzimu ndio vipo viwanda?Karibuni mashetani.....karibuni sana maana barabara ya kuja huku kuzimu ni pana sana hivyo hamtabanana.
Mlizani hapa kazi tu ni kuwahi kuingia ofisini na tai? Hata kugombea rimoti na mwanao nyumbani baada ya kufukuzwa kazi pia ni Kazi.
Chagua jina linalokufaa katika utawala wa kuzimu,Makata? Maimuna?Subiani?
Lakini sometime ukiwaza kama binadamu ambaye survival is a order of the day kuna maswali unaweza kujiuliza:ajira zinapungua tu!
Sasa hivi hakuna kuhamishiwa kwingine mdau,au hujui hilo,?????Hakuna mtu atapoteza ajira bali wata hamishiwa kwenye vitengo vingine? Hivi unajua sheria za utumishi wa Umma? Kama mgelikuwa mna msikiliza waziri wa tamisemi bungeni wala msingalisema haya hili jambo halikuanza kuongelewa leo!