Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 803
- 870
Bara la Afrika litakuja kuwa na Bomu kubwa sana miaka 20 ijayo, sasa hivi linasubiri kulipuka tu.Unemployment ni janga la kidunia.
Evolution of population structure inaonesha muafrika hajaadvance midset. Kurationalize imekuwa ngum kidogo, umaskini na kuzaa sana havitengani. Higher poor higher fertilityWakorea wanaogopa kuzaa sababu ya gharama za maisha waafrica wanazaa wapate unafuu wa maisha, i just don't get it men!