Kunyinyima kuzaa ni sawa na kuharibu generation zijazo. Kama ni kweli kuwa watu hujizaa (yaani huzaa wanaowafanania), ina maana mwenye akili atazaa mwenye akili, zoba atazaa zoba, nk. Sasa utakuta watu wenye akili kubwa tu ya academics, life skills etc wanataka kuzaa mtoto mmoja tu. Na wale walioshindwa maisha (pengine kwa sababu za kimaumbile/akili nk) wanazaa watoto kibao.
Miaka 20 tu ijayo watoto hawa watakapokuwa wakubwa, utakuta watu 'dhaifu' mazoba wanakuwa wengi sana, na wale 'wa maana' wanakuwa wachache sana, nchi itaendeleaje? Hata katika uchaguzi msishangae tukajapata rais na wabunge mitaahira kwa sababu yatakayokuwa yanapiga kura ni mijitu vichwamaji, kisa tu wenye uwezo waligoma kuzaa tukajaziwa mijinga tu mtaani!
Watu wenye uwezo na akili za biashara kubwakubwa kama kina Mengi walipaswa wazae hata watoto 10 au zaidi, wana uwezo wa kuwatunza vizuri na kuwasomesha, wakatupatia per family kina Mengi wengine 10 or more. Watu kama wale maprofesa wenye vichwa vya maana wanaovumbua vitu vya kuendeleza taaluma duniani walipaswa wazae hadi itakaposhindikana, tupate maprofesa wengi zaidi.
Wale kina nanii wanaogoma kuhama mabondeni, wale wengine tunaowaona kwenye tv wanaolala kwenye maboksi, wale ndio wangezuiwa kuzaa, au wapangiwe mtoto mmoja tu au wawili mwisho, maana ndio wanaotujazia vibaka mtaani.
Mi nimeoa lakini sijaona sababu ya kuzaa, so naenjoy na wifey tu. Watoto siyo ishu kabisa, wanarestrict starehe na wifey!
du, nimecheka saana. thanksKunyinyima kuzaa ni sawa na kuharibu generation zijazo. Kama ni kweli kuwa watu hujizaa (yaani huzaa wanaowafanania), ina maana mwenye akili atazaa mwenye akili, zoba atazaa zoba, nk. Sasa utakuta watu wenye akili kubwa tu ya academics, life skills etc wanataka kuzaa mtoto mmoja tu. Na wale walioshindwa maisha (pengine kwa sababu za kimaumbile/akili nk) wanazaa watoto kibao. Miaka 20 tu ijayo watoto hawa watakapokuwa wakubwa, utakuta watu 'dhaifu' mazoba wanakuwa wengi sana, na wale 'wa maana' wanakuwa wachache sana, nchi itaendeleaje? Hata katika uchaguzi msishangae tukajapata rais na wabunge mitaahira kwa sababu yatakayokuwa yanapiga kura ni mijitu vichwamaji, kisa tu wenye uwezo waligoma kuzaa tukajaziwa mijinga tu mtaani!
Watu wenye uwezo na akili za biashara kubwakubwa kama kina Mengi walipaswa wazae hata watoto 10 au zaidi, wana uwezo wa kuwatunza vizuri na kuwasomesha, wakatupatia per family kina Mengi wengine 10 or more. Watu kama wale maprofesa wenye vichwa vya maana wanaovumbua vitu vya kuendeleza taaluma duniani walipaswa wazae hadi itakaposhindikana, tupate maprofesa wengi zaidi. Wale kina nanii wanaogoma kuhama mabondeni, wale wengine tunaowaona kwenye tv wanaolala kwenye maboksi, wale ndio wangezuiwa kuzaa, au wapangiwe mtoto mmoja tu au wawili mwisho, maana ndio wanaotujazia vibaka mtaani.
Watz tuwe makini sana na hii habari ya kuzaa mtoto mmoja au wawili..mnaona wenzetu wa Ulaya wanavyopata shida??
Halafu ukiwa na mtoto mmoja je nani atakuangalia wakati wa uzee wakati hakuna social security?
Watz..jamani watoto wazuri sana! Tuwe na nia na dhamira kupenda kuzaa watoto wengi!!!
...Mtoto si wenu wewe na mwenza wako sasa wengine wa nini wakuumize kichwa mkuu?? mtoto hata akiwa 1 poa tu lakini maximum 2. mazee nina imani 2 unaweza kuwapeleka vizuri tu na hasa katika masuala ya elimu si unajua siku hizi kuanzia vidudu mpaka Mlimani ni mfuko wako???so far nashukuru kwa response ya wale waliochangia, lakini bado nahitaji michango ya wengi zaidi. Vipi mtu ukiamua unataka mmoja peke yake, hivi jamii itakuelewa, i mean wazazi wa pande zote mbili, mawifi nk? how to deal with them wakianza kuchonga?
msomi muda wake wingi anautumia shuleni, anapokuja kuoa/kuolewa umri unakuwa unakaribia kumtupa mkono (less reproductive age),tofauti na mtu ambaye haja soma anaowa/anaolewa mapema (long reproductive age) huyu msomi ndiyo fisadi wetu wa leo anatumia muda mwingi kupanga mikakati ya kufusadi pamaoja na kuwa na safari nyingi sinasomfawa kuwa mbali na mwenzie wake hivyo kupunguza uwezekano wakupeana mimba. Tofauti na huyu jamma ambaye ajaenda shule all the time yupo na partner wake. Pia msomi huyu anarudi nyumba ameshoka mipago ya ufisadi imenda kombo no sex libido. Kwa hiyo wasomi hawapigi wawe na watoto wangapi but circumstance dictatesWatu bwana!!! tuko selfish sana!! Yaani tunapenda tu kutanua na hatutaki watoto wengi!! yaani sielewi..msomi unakuwa na mtoto 1 au wawili??
Minimum kwa wasomi iwe ni 5 na wamachinga iwe 3!
Wasomi you are not doing Justice to the future welfare of Tz!
Eti unakuta Professor mzima ana watoto wawili ..na mmachinga ana watoto 6! If this fair kwa future ya hili taifa kweli?
hivi hao mawifi wa kuja kukuuliza wewe mpaka mambo ya kitandani na mumeo inawahusu nini? na wao wameolewa? kama ndio bac wao waendelee kujaza familia zao sio waingilie mpaka plans za familia yangu....
Mimi ningependelea watoto 4 lakini tatizo lipo kwa mama watoto, yeye anataka 5 au 6. Ndipo hapo ninapochanganyikiwa.
Wahenga wamesema kazi kulea si kuzaa.
These are the factors I would consider:
a)Kipato cha familia
b)Uwezo wa mke wangu kuendelea kuzaa(maana maumivu ya uzazi ana pata mwenzangu so she must have a large say in it)
Ningependa kuwa na watoto wawili ikitokea ni wa jinsia tofauti but I would try for a third kama wiwili wa kwanza ni wa jinsia moja then basi lakini with the above factors in mind.