Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,097
Kuna tatizo la njaa nchini Tanzania na kila siku linazidi kukua.. Mambo magumu!
Sio maneno yangu binafsi bali tafiti kadhaa zinaonyesha hivyo, hata ripoti ya juzi ya utafiti uliofanywa na Twaweza umetanabaisha hilo pia.
Watu wanakosa chakula na kilichopo kimekuwa haba.. Inafikia hatua inabidi mtu apitishe mchana bila kugonga msosi hadi jionii.. Bei zenyewe nazo zinatia shaka..
Hiki ni kiashiria kikubwa kwamba kama tusipochukua hatua mapema tunaingia kwenye Baa la Njaa!
In Tanzania, a national survey shows a massive increase in the number of people affected by food shortages. It is the first indication of the scale of the country's hunger problem.