Barieda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 1,811
- 2,483
Awali ya yote natanguliza salamu zangu kwenu members wote wa JF.
Niende moja kwa moja kwenye maada Mimi ni kijana mwanaume, ambaye sijaoa bado, na najua bado kuna idadi kubwa tu ya vijana wenzangu ambao tunahitaji wake kama si leo basi ni hivi Karibuni.
Ombi langu ni kutaka kujua takwimu ya wadada masingle/ ambao hawajaolewa tujue idadi kwamba tunao wangapi humu jf ili tujue tunapotangaza ndoa tuwe na uhakika wa matarajio yetu kwa asilimia ngapi.
Kwan tunao uhakika kuwa jf kuna wadada wazuri sana, waliosoma na wenye nia njema na maisha ya ndoa, naomba wadada ikiwezekana orodhesheni majina yenu humu tuwatambue ili kurahisisha upatikanaji pale mnapohitajika. Ahsante!