..unaipambania CDM iliyokufa kwa propaganda fakeππ
Ila CCM bana
Yaani mmeandikisha hadi watoto wa shule mmefika milioni 13
Sasa na Chadema kupitia uandikishaji wao wamefika mil 18 na mnaona umati wakati CCM wanasomba hadi wavuta bangi π€£
Hii imekwisha! CCM kama mna wanachama milioni 3 serious mmejitahidi
View attachment 3351561View attachment 3351562
Chauma wangqpi? bila kuwasahau ACT na CUF.ππ
Ila CCM bana
Yaani mmeandikisha hadi watoto wa shule mmefika milioni 13
Sasa na Chadema kupitia uandikishaji wao wamefika mil 18 na mnaona umati wakati CCM wanasomba hadi wavuta bangi π€£
Hii imekwisha! CCM kama mna wanachama milioni 3 serious mmejitahidi
View attachment 3351561View attachment 3351562
..wastage of time, CDM is a splinted defunct cultWeka hapa mchuano jf poll kuchagua kama utathubutu kunusa pua yako.
CDM waongo.. wamejuaje 18m wanahudhuria mikutano!ππ
Ila CCM bana
Yaani mmeandikisha hadi watoto wa shule mmefika milioni 13
Sasa na Chadema kupitia uandikishaji wao wamefika mil 18 na mnaona umati wakati CCM wanasomba hadi wavuta bangi π€£
Hii imekwisha! CCM kama mna wanachama milioni 3 serious mmejitahidi
View attachment 3351561View attachment 3351562
Chaumma wanachama milioni nane.Chauma wangqpi? bila kuwasahau ACT na CUF.
sijui uliendaga wapi we mama!Chauma wangqpi? bila kuwasahau ACT na CUF.
ILLUSIONElfu kumi tatu ni wa ccm, wanaobaki huipigia kura chadema, kidogo ACT. Ikitokea uchaguzi ukafanyika wazi na haki chadema itaongoza ikifuatiwa na ccm, halafu ACT wazalendo. Mchuano utakuwa wa vyama vitatu tu, vingine vitaishia kupata kura chache kwani havina wanachama na wapiga kura wao wengi. CHAUMMA bado ushawishi wao hauonekani na hujulikani licha ya kupata mvumo wa ghafla kipindi hiki cha kupokea waliokuwa makada wa chadema