Idadi ya bacteria waliopo katika kinywa cha binadamu ni zaidi ya idadi ya binadamu wote waliopo duniani?

sir venance

Senior Member
Oct 26, 2017
151
222
Kwa mujibu wa wanafunzi wa chuo kikuu cha newcastle cha nchini uingereza kupitia utafiti wao, walibaini kuwa idadi ya bacteria waliopo katika kinywa cha binadamu ni zaidi ya idadi ya binadamu wote waliopo duniani,madaktari njoeni mtupe darasa hapa kidogo,
 
hao watakuwa walipata kilevi kwanza sio bure, kwa hiyo wanataka tusidendeke ama wanataka nini
 
Back
Top Bottom