Idadi kubwa ya wanaume waseja hawawaamini wanawake

Idadi kubwa ya wanaume waseja hawawaamini wanawake

Mzinzi anaamini Kila amwonae ni mzinzi mwenzie...... mwaminifu anaamini Kila amwonae ni mwaminifu
 
Hakuna wa kumuamini kwenye haya maisha zaidi ya Mwenyezi Mungu.

"Mwanamke ni Ibilisi ,Mwanamke ni Shetani hata vita ya Ukraine na russia imesababishwa na mwanamke" - Mwijaku
 
Kwa umri wako huo wa 30s inabidi kujipanga na kuangalia unakwama wapi?
Ikiwezekana nenda kwa mwamposa upate Mafuta ya upako usafishe nyota ili uache kulaumu wanaume kukuchezea
 
Back
Top Bottom