Idadi ipi ya watoto inafaa kwa uzao wa zama hizi?

ENYI KIZAZI CHA TWITA NA FACEBOOK,EBU FIKIRIA WAZAZI WETU WANGEFIKIRIA HIVI,JE TUNGEZALIWA SISI AMBAO NI WATOTO WA NNE,TANO,SITA na KUENDELEA? WE FYATUA KADILI UNAVYOONA INAFAA.
 
Ukizaa mtoto mmoja mfano Mwenyz Mungu anamchukua huyo mtoto htafanyj aja mambo ya ajb wew zaaa watoto anglau 3 ndo htatosha sasa lkn mmja sikushauli au wawili
 
Mwenyezi Mungu ana hekima yake
Wengine ni wagumba na wengine wanapanga vya kuzaa
Hapo ndio unakuta mke mjamzito unamshawishi aitoe mimba (auwe)
 
10,, ukizaa watatu,yanaeza kukuta kama ya mzee mmoja nimeona itv wamefariki wote kwa ajali
 
Back
Top Bottom