haaaa Dogo Ronie M hujaenda jukwaaa la siasa?
Kuna watu nimewaona wanaitwa hovyohovyo, ila anatema nondo! ngoja nione mengine
haaaa Dogo Ronie M hujaenda jukwaaa la siasa?
Kuna watu nimewaona wanaitwa hovyohovyo, ila anatema nondo! ngoja nione mengine
Kwenye avatar ndio balaa. Kuna yule mwenye bichwa la nazi. . . Huwa ananikumbusha naniliu
Mkuu figganigga ni upcoming moderator so kua makini unapo taja hii ID. unaweza ukapata ban ya majaribio. kuna jamaa alikua akijiita kifilio lakini invisible akaandamana sasa havi anajiita filio. mwingine alikua anajiita bebiii member wa jf wakaandamana coz kila dume lilikua linasema eti ni bebii wake, akaona watauana ikabidi ajiite Smile. mwingine alijiita popobawa akaona hapati pm ikabidi abadilishe na kujiita Maporosoo. mwingine alijiita invi akaona hasomeki na kutisha sasa anajiita Invisible. Mia
ahahaaaaaaa upo wewe..nitazimia jamani mbavu zangu...Mkuu figganigga ni upcoming moderator so kua makini unapo taja hii ID. unaweza ukapata ban ya majaribio. kuna jamaa alikua akijiita kifilio lakini invisible akaandamana sasa havi anajiita filio. mwingine alikua anajiita bebiii member wa jf wakaandamana coz kila dume lilikua linasema eti ni bebii wake, akaona watauana ikabidi ajiite Smile. mwingine alijiita popobawa akaona hapati pm ikabidi abadilishe na kujiita Maporosoo. mwingine alijiita invi akaona hasomeki na kutisha sasa anajiita Invisible. Mia
Katika maswala ya ku-kubea-ana na ku-Ulimbokiana dhaifu si dhaifu bana. Salva atampa news nikose legal basis ya kujitetea
Mkuu figganigga ni upcoming moderator so kua makini unapo taja hii ID. unaweza ukapata ban ya majaribio. kuna jamaa alikua akijiita kifilio lakini invisible akaandamana sasa havi anajiita filio. mwingine alikua anajiita bebiii member wa jf wakaandamana coz kila dume lilikua linasema eti ni bebii wake, akaona watauana ikabidi ajiite Smile. mwingine alijiita popobawa akaona hapati pm ikabidi abadilishe na kujiita Maporosoo. mwingine alijiita invi akaona hasomeki na kutisha sasa anajiita Invisible. Mia
Kuna mijamaa mingine inatumia ID za madawa kama klorokwini na panadolKatika maswala ya ku-kubea-ana na ku-Ulimbokiana dhaifu si dhaifu bana. Salva atampa news nikose legal basis ya kujitetea
Kuna mijamaa mingine inatumia ID za madawa kama klorokwini na panadol