KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,797
- 86,566
🤣🤣 Kumbe bora yangu Kuna nyengine hazijulikani hata jinsia gani..🤣🤣🙆kaka Tena 🙄
Sinunui Tena pia mimi siyo kaka 🚶🏼♀️🚶🏼♀️
🤣🤣 Kumbe bora yangu Kuna nyengine hazijulikani hata jinsia gani..🤣🤣🙆kaka Tena 🙄
Sinunui Tena pia mimi siyo kaka 🚶🏼♀️🚶🏼♀️
🤣🤣niache hukoo🤣🤣 Kumbe bora yangu Kuna nyengine hazijulikani hata jinsia gani..🤣🤣
Duh, pole dada. Tunaweza ongea vizuri tu ukainunua usijali.kaka Tena
![]()
Sinunui Tena pia mimi siyo kaka![]()
😢 ona kenzy ananicheka hapo eneway ...Duh, pole dada. Tunaweza ongea vizuri tu ukainunua usijali.
Achana na Kenzy, njoo PM tufanye business mama.ona kenzy ananicheka hapo eneway ...
Punguza basi nichukue
🏃🏃🤣🤣niache hukoo
Hata Kama nami nauza yangu jinsia ataipata badae Tena nikuuzie wewe🙄
njoo nunua nakuuzia buree🤣
umeifunga🔒Achana na Kenzy, njoo PM tufanye business mama.
Jaribu tenaumeifunga![]()
Tufanye hivi nakutumia nauli uje gheto uchukue hapo vipi mrembo..?


aah nimeghairiWe acha mbachao kwa msala upitaoaah nimeghairi
We ni embe ng'ong'o..😎Komamanga la blue wewe![]()
Okay basi tufanye unashepu kama bamia la mia na hamsini..😁Tamu![]()