ICT bongo !!!!!

ICT bongo !!!!!

kosa liko wapi tuna watu wazuri wa program lakini kazi zao wana fail kuzitangaza
 
kosa liko wapi tuna watu wazuri wa program lakini kazi zao wana fail kuzitangaza

Hauna kosa lolote kuongelea hili swala, ni sawa na utoe sentensi hii "watu wamekula", kwa mwenye mawazo chanya ataona tu kwamba umekurupuka kutoa sentensi kama hiyo, na ndicho ulichokifanya hapa,

thread yako haieleweki inataka nini.

ww nilikuwa nakutafuta sana nahisi ni miongoni mwao

Kuniattack mimi personally hakuwezi kumake your point legitimacy at all.
It's very bad that ulikuwa unanitafuta mimi badala ya pesa.
 
sijui ndo umepost nini hapa, hili jukwaa ni kati ya majukwaa machache siriaz hapa JF, vitu nonsense nenda kapost chitchat,celebrity,mmu,etc
 
watu wengi sana wa ICT programmers na software engineer wanashindwa kutangaza kazi zao MARKETING ni tatizo kwao
am interesting in marketing as well as ict so mi nmekuelewa but nafkri ulitakiwa kujazia nyama kidogo kwenye thread yako ili wadau wakusome vizuri ni hayo tu mkuu!!:tape2:
 
am interesting in marketing as well as ict so mi nmekuelewa but nafkri ulitakiwa kujazia nyama kidogo kwenye thread yako ili wadau wakusome vizuri ni hayo tu mkuu!!:tape2:
nashukuru kwa kunielewa kweli we genius hao wanao taka notisi za kutosha wajue to LIVE FAST DIE YOUNG
 
sijui ndo umepost nini hapa, hili jukwaa ni kati ya majukwaa machache siriaz hapa JF, vitu nonsense nenda kapost chitchat,celebrity,mmu,etc

Ndugu umeshindwa kumuelewa mwalimu wako utonielewa mm pita hivi
 
Mkuu option ya "New Post" sio lazima sana kuitumia kama una stress au bado haujajipanga.
Kaanzisha thread akiwa ofisini (kazini) halafu boss kaingia ghafla jamaa akajikausha!
 
Back
Top Bottom