Mnaonaje wadau tukiwa na board ya ICT kwaajili ya kuwatambua kisheria wanataaaruma ya ICT kama ilivyo kwa wengine kama Engineers Accountants Procurements
Wazo wako halikufanikiwa na walishasema kitu kama ict ni wide field kuna watu wameishia fomu tu lakini kimtaa mtaa wanagonga codes za maana kingne kuna wana degree lakini hawajui wafanye nini mfano wengi nimesoma nao ukisema hivo unakua unawanyima uhuru ambao hawana vyeti na wenye vyeti lakini hawajielew mnawapendelea IT ni kustrugle idea zako ndo zinazokutoa sa usilete thread kama hii tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.