Yaani achilia mbali zile zenye ***** kuna nyengine hata email haiji kabisa, hizo service anazotambia ni za kucheck icloud info na status unaweza kupata hio huduma iphoneunlock.zone eti anakuja kutudanganya anatoa lock kwa kulipia kupata izo info.Well said
Basi sawa naheshimu maamuzi yako.Nshasema No huko PM kuna nin
Yaani achilia mbali zile zenye ***** kuna nyengine hata email haiji kabisa, hizo service anazotambia ni za kucheck icloud info na status unaweza kupata hio huduma iphoneunlock.zone eti anakuja kutudanganya anatoa lock kwa kulipia kupata izo info.
Katika youtube kuna majamaa wanajidai eti wanatoa icloud tena wanaonesha simu, kumbe simu zao wenyewe wanazilock, kisha wanazi unlock na kuaminisha watu inawezekana.....
Mkuu watanipa akili ya Kununua simu nyingine. Ujue huku mtaani kunawatu wanaotumia simu inamanyufa ya kufa Mtu. Ni bora aibiwe Ili maduka yapate faidaIbiwa android ako ndo utakua apple n nin
Mkuu watanipa akili ya Kununua simu nyingine. Ujue huku mtaani kunawatu wanaotumia simu inamanyufa ya kufa Mtu. Ni bora aibiwe Ili maduka yapate faida
sawaHata uwe unataka data au hutaki hiyo kitu haipo haiwezekani
Na ndio uwezo wako wa akili umeishia hapo sim n device il Data zilizomo ndio mali labda kama hili ulikua hujui...
sawa
simu yangu haikai na data yoyote. Data Zangu ziko Google Drive. Ukiniibia ntaumia kwa kupoteza simu sio data
kama ios 8 kwenda mbele ni ngumu sana...ila watu wamefungua sana za nyuma chini ya 8....na baada ya case ya FBI wali upgrade security features na ndio kazi ilipo kwasasa....Sim ikiw icloud na na imewekwa find my iPhone akifunga mwenye nayo n kopo kwako huna uwezo wa kufungua zaman weng walkua wanaweka lost mode af anatoa email ake ndo wakawa wanapita humo wez kwa sasa IMPosibooooooooooo
kama ios 8 kwenda mbele ni ngumu sana...ila watu wamefungua sana za nyuma chini ya 8....na baada ya case ya FBI wali upgrade security features na ndio kazi ilipo kwasasa....
nothing is impossible......hawa iphone wenyewe wanawalipa hackers...wakiweza ku crack...unawaonesha wao wanaenda upgrade ulinzi wao.
ahhaa ahaaa ahaa....11 bado sijui labda ni mmoja wa hackers wameipata mapema wanaitafutia njia ya ku crackNi sawa ios 8 kurud nyuma,,,,hilo la kuwalipa hackers pia sikatai lakin Je mwisho wa siku hazifunguki kama zinafunguka watu wangepiga pesa mana makopo n meng mtaani haswa...lakin mpaka sasa bado hali ni tete kesho wanatoa iOS 11 ingawa kuna mtu juu pale alisema anayo namuliza umeitoa wap anangaza macho
maana kuna jamaa hackers wanataka ku wipe icloud....so labda ni mmoja wao lets not underestimate our countrymenNi sawa ios 8 kurud nyuma,,,,hilo la kuwalipa hackers pia sikatai lakin Je mwisho wa siku hazifunguki kama zinafunguka watu wangepiga pesa mana makopo n meng mtaani haswa...lakin mpaka sasa bado hali ni tete kesho wanatoa iOS 11 ingawa kuna mtu juu pale alisema anayo namuliza umeitoa wap anangaza macho
ahhaa ahaaa ahaa....11 bado sijui labda ni mmoja wa hackers wameipata mapema wanaitafutia njia ya ku crack
maana kuna jamaa hackers wanataka ku wipe icloud....so labda ni mmoja wao lets not underestimate our countrymen
Mimi nahitajiMwenye kuhitaji huduma ya kuondoa google lock simu yoyote ya android anitafute
π π π they thin every Tanzanian is dumb when it comes to iphone.... Kumbe wao ndio dumbs....Hawa nimewaambia kua wangekua mabilionea hii leo Tz tungakua tuna import makontena ya sim zenye icloud kama wangekua wanaweza toa na ku export sim ambazo ziko fresh so wangekua mabilionea shenz