Civilian One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 246
- 189
Nimenunua iphone 7 ya kutumika kwa online market,nilipo inaitisha id ya mwenye alikua akitumia zamani.tatizo simjui wala sina hata njia ya kumfikia,Kama yupo mwenye maunjanja naomba msaada hata Kama nikutoa hela.