safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,186
Bei gan blenda?
Bei gan blenda?
Tank moja kwa sasa hatuzileti zipo tank mbili laki saba na nusu tank tatu 1.3m juice dispensers
Bei gani
Ni heavy duty mkuu chochote unasaga usionee huruma 350k angalia kitu bora unachokipata
Mkuu chochote Kama vitu vipiNi heavy duty mkuu chochote unasaga usionee huruma 350k angalia kitu bora unachokipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sh. Ngapi? Brenda.
vitu vikavu mkuu mpaka mahindi kuwa ungaMkuu chochote Kama vitu vipi
Hizi si ukubwa sana na zile za alfu 60 mkuu?Ni heavy duty mkuu chochote unasaga usionee huruma 350k angalia kitu bora unachokipata
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tank mbili hizo naitaji nipe mawasiliano yakoTank moja kwa sasa hatuzileti zipo tank mbili laki saba na nusu tank tatu 1.3m juice dispensers
Sent using Jamii Forums mobile app
0762612213 karibu sana mkuu zilikuja sita imebaki moja tu na za sasa ni bora bei yake million moja na laki nnemkuu tank mbili hizo naitaji nipe mawasiliano yako
|ChatBot[emoji880]✓|[emoji769]
Haswa nami nahitaj blender
Zipo mkuu karibu 0762612213Haswa nami nahitaj blender
Mi nataka inayofunga vimfuko vya plastic pia. weka picha na bei.0762612213 karibu sana mkuu zilikuja sita imebaki moja tu na za sasa ni bora bei yake million moja na laki nne