Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,142
- 162,538
Hawa jamaa tunaomba watoe kipaumbele kwenye mashitaka dhidi ya hawa waauji na ambao mpaka sasa wameshindwa kuwajibika wala kuwajibishana..
Hawatakiwa kukalia ofisi za umma hata kwa sekunde moja.
Ni chukizo hata kuwaona wakitoa kauli kama viongozi au watawala.
Kwahiyio, ICC msituchelewesha hata kama mna taratibu zenu.