ICC imeishia wapi?

ICC imeishia wapi?

Unafikiri kwa nini wanashindwa kutoa report yao? Mashaka makubwa ni hii kitu kwa sababu ICC inataka kujua kwanza efforts za ndani zimefanya nini na kama hatua zinaendana na tukio lenyewe! Wanapambana kuipika kwa kuwa ndio itaactivate hatua zaidi kimataifa either positive au negative, so wanasoma na kuirudiarudia kila wakicheck wanaona mamaduro anasongeshwa so wanarudia kuipika tena na tena ili wamuokoe. Huo muda unaoongezwa mara kwa mara ni kwa ajili ya kuedit ila ndo moja haikai na mbili haikai

Kifupi dunia nzima imekaa macho kusubiri huu mzigo!
 
Unafikiri kwa nini wanashindwa kutoa report yao? Mashaka makubwa ni hii kitu kwa sababu ICC inataka kujua kwanza efforts za ndani zimefanya nini na kama hatua zinaendana na tukio lenyewe! Wanapambana kuipika kwa kuwa ndio itaactivate hatua zaidi kimataifa either positive au negative, so wanasoma na kuirudiarudia kila wakicheck wanaona mamaduro anasongeshwa so wanarudia kuipika tena na tena ili wamuokoe.

Kifupi dunia nzima imekaa macho kusubiri huu mzigo!
Hivi nanashindwa Nini(amiri) kuwajibisha wauwaji.
1. Anawaogopa?
2. Wamemuweka mfukoni?
3. Alijikuta anatoa amri ya KUUA na amri hiyo inatumika kumtisha kuwa akimwaga mboga na wao wanamwaga ugali?

JINAI ITAAMBATANA NAYE KOKOTE TAKAKO KUWA AU ENDA
 
Hivi nanashindwa Nini kuwajibisha wauwaji.
1. Anawaogopa?
2. Wamemuweka mfukoni?
3. Alijikuta anatoa amri ya KUUA na amri hiyo inatumika kumtisha kuwa akimwaga mboga na wao wanamwaga ugali?

JINAI ITAAMBATANA NAYE KOKOTE TAKAKO KUWA AU ENDA

ICC huwa inataka kuona kwanza sheria za ndani ya nchi na kuwajibishana kama kumefanyika so hawa jamaa wanajaribu kutumia nafasi hiyo ndo mana danadana nyingi! Ila uzuri ICC wana kila details so wanataka kwanza kuona nini kimefanywa ndani na kama haki imetendeka.

Kwa sasa hivi hawawezi kufanya lolote kwa kuwa team mamaduro itasema tushaanza kuchukua hatua kwa kuunda tume ya uchunguzi so ICC wanafungwa mikono kwamba wamewahi sana! Ni kama mahakama inavyotoa ofa ya usuluhishi kwanza
 
Kwa sasa hivi hawawezi kufanya lolote kwa kuwa team mamaduro itasema tushaanza kuchukua hatua then wanafungwa mikono kwamba wamewahi sana! Ni kama mahakama inavyotoa ofa ya usuluhishi kwanza
Hapo Nina mrejea amiri jeshi mkuu ambaye kimsingi anajua Nini kilitokea. Najiuliza kwa Nini hachukui hatua? Haiwezekani nchi unayo isimamia kutokea umwagikaji damu na isichukuliwe hatua yoyote isipokuwa tu kwa vijana wadogo walipokuwa wanaandamana. Kwanini anakuwa mzito dhidi ya walio rusha risasi
 
Amirijeshi mkuu ndio mtuhumiwa wa kwanza kwa sababu hamna askari anapaswa kutumia silaha kuua bila amri ya amirijeshi mkuu so huenda anaogopa wengine wote watageuka kuwa mashahidi ndo maana anapika report! Ndio maana jeshi haliingii kwenye vita bila kwanza amri ya Rais akitoa tu anakua katoa amri ya kuua by implication. Technically ukihusisha jeshi kwenye operation yoyote maana yake umetoa amri ya kuua, polisi hawaruhusiwi kuua na wote wanaoua ukiwashtaki watawajibika tu kama kungekuwa na mahakama za haki
 
Unafikiri kwa nini wanashindwa kutoa report yao? Mashaka makubwa ni hii kitu kwa sababu ICC inataka kujua kwanza efforts za ndani zimefanya nini na kama hatua zinaendana na tukio lenyewe! Wanapambana kuipika kwa kuwa ndio itaactivate hatua zaidi kimataifa either positive au negative, so wanasoma na kuirudiarudia kila wakicheck wanaona mamaduro anasongeshwa so wanarudia kuipika tena na tena ili wamuokoe. Huo muda unaoongezwa mara kwa mara ni kwa ajili ya kuedit ila ndo moja haikai na mbili haikai

Kifupi dunia nzima imekaa macho kusubiri huu mzigo!
Inawezekana ukawa sahihi; lakini kuna mifano mingi tu ya hao hao ICC kuchukua hatua za kuchunguza bila kujali mengine yanayoendelea.
Hapo Kenya; hawakusubiri kuona hatua za ndani zinaendeshwa vipi. Hata kule Liberia kwa Charles Taylor hawakungoja taratibu za ndani. Ma'war Lords' hapo DRC chungu nzima wamefikishwa kwenye mahakama hiyo bila ya mizunguko yoyote.

Hapa Tanzania, hiyo ICC hata kunyanyua kidole tu na kusema chochote hakuna?
Hata huko kusema tu kuwa wamepokea taarifa juu ya swala hilo; na hata kueleza tu kwamba watasubiri kwa sababu hizo ulizoeleza. Wamekaa kimya tu, kana kwamba hakuna lililotokea?

Tulisema tokea mwanzo, haya maswala ni yetu wenyewe. Ni wajibu wetu kujipanga na kuyamaliza wenyewe.
Chini ya nchi hii hakuna kisichowezekana, kama nia ya kutekeleza ipo.

Tuachane na hizi tabia za utegemezi kwa kila jambo.
 
ICC huwa inataka kuona kwanza sheria za ndani ya nchi na kuwajibishana kama kumefanyika so hawa jamaa wanajaribu kutumia nafasi hiyo ndo mana danadana nyingi! Ila uzuri ICC wana kila details so wanataka kwanza kuona nini kimefanywa ndani na kama haki imetendeka.

Kwa sasa hivi hawawezi kufanya lolote kwa kuwa team mamaduro itasema tushaanza kuchukua hatua kwa kuunda tume ya uchunguzi so ICC wanafungwa mikono kwamba wamewahi sana! Ni kama mahakama inavyotoa ofa ya usuluhishi kwanza
Nitakushukiru sana ukinipa excerpt ya hiyo narration yako nzuri kutoka ICC statute
 
Screenshot (91).png

Soma "complementarity"
 
Inawezekana ukawa sahihi; lakini kuna mifano mingi tu ya hao hao ICC kuchukua hatua za kuchunguza bila kujali mengine yanayoendelea.
Hapo Kenya; hawakusubiri kuona hatua za ndani zinaendeshwa vipi. Hata kule Liberia kwa Charles Taylor hawakungoja taratibu za ndani. Ma'war Lords' hapo DRC chungu nzima wamefikishwa kwenye mahakama hiyo bila ya mizunguko yoyote.

Hapa Tanzania, hiyo ICC hata kunyanyua kidole tu na kusema chochote hakuna?
Hata huko kusema tu kuwa wamepokea taarifa juu ya swala hilo; na hata kueleza tu kwamba watasubiri kwa sababu hizo ulizoeleza. Wamekaa kimya tu, kana kwamba hakuna lililotokea?

Tulisema tokea mwanzo, haya maswala ni yetu wenyewe. Ni wajibu wetu kujipanga na kuyamaliza wenyewe.
Chini ya nchi hii hakuna kisichowezekana, kama nia ya kutekeleza ipo.

Tuachane na hizi tabia za utegemezi kwa kila jambo.

Naheshimu mchango wako mkuu ila Kenya hawakufanya efforts zozote za ndani ilikuwa ni lazima ICC ifanye yake najua hapa kwetu wanafanya tricks tu kutumia ujanja ujanja kama kawaida yao! Wanatumia loopholes kudelay, that my thinking tu sio lazima iwe kweli
 
Unafikiri kwa nini wanashindwa kutoa report yao? Mashaka makubwa ni hii kitu kwa sababu ICC inataka kujua kwanza efforts za ndani zimefanya nini na kama hatua zinaendana na tukio lenyewe! Wanapambana kuipika kwa kuwa ndio itaactivate hatua zaidi kimataifa either positive au negative, so wanasoma na kuirudiarudia kila wakicheck wanaona mamaduro anasongeshwa so wanarudia kuipika tena na tena ili wamuokoe. Huo muda unaoongezwa mara kwa mara ni kwa ajili ya kuedit ila ndo moja haikai na mbili haikai

Kifupi dunia nzima imekaa macho kusubiri huu mzigo!
Haters wa Samia katika hapa na pale ya kujifariji🤣🤣🤣🤣🤣

Mmesikia bank ya Dunia inamwaga mahela huko?!!!!!!! Haya, nyie kaeni vibarazani hapo mkipiga umbea mwishowe waume zenu warudi wakute hakuna maji yoyote ya moto mliyoyaweka kwa ajili ya kuoga.
 
Unafikiri kwa nini wanashindwa kutoa report yao? Mashaka makubwa ni hii kitu kwa sababu ICC inataka kujua kwanza efforts za ndani zimefanya nini na kama hatua zinaendana na tukio lenyewe! Wanapambana kuipika kwa kuwa ndio itaactivate hatua zaidi kimataifa either positive au negative, so wanasoma na kuirudiarudia kila wakicheck wanaona mamaduro anasongeshwa so wanarudia kuipika tena na tena ili wamuokoe. Huo muda unaoongezwa mara kwa mara ni kwa ajili ya kuedit ila ndo moja haikai na mbili haikai

Kifupi dunia nzima imekaa macho kusubiri huu mzigo!
Dunia nzima? Ipi? Acheni kujipa umaarufu msiokuwa nao. Labda ongeleeni ICC ya Kantalamba huko
 
Amirijeshi mkuu ndio mtuhumiwa wa kwanza kwa sababu hamna askari anapaswa kutumia silaha kuua bila amri ya amirijeshi mkuu so huenda anaogopa wengine wote watageuka kuwa mashahidi ndo maana anapika report! Ndio maana jeshi haliingii kwenye vita bila kwanza amri ya Rais akitoa tu anakua katoa amri ya kuua by implication. Technically ukihusisha jeshi kwenye operation yoyote maana yake umetoa amri ya kuua, polisi hawaruhusiwi kuua na wote wanaoua ukiwashtaki watawajibika tu kama kungekuwa na mahakama za haki
ICC siyo ya nyumbani kwenu au ya Maria Sarungi. ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza
 
ICC huwa inataka kuona kwanza sheria za ndani ya nchi na kuwajibishana kama kumefanyika so hawa jamaa wanajaribu kutumia nafasi hiyo ndo mana danadana nyingi! Ila uzuri ICC wana kila details so wanataka kwanza kuona nini kimefanywa ndani na kama haki imetendeka.

Kwa sasa hivi hawawezi kufanya lolote kwa kuwa team mamaduro itasema tushaanza kuchukua hatua kwa kuunda tume ya uchunguzi so ICC wanafungwa mikono kwamba wamewahi sana! Ni kama mahakama inavyotoa ofa ya usuluhishi kwanza
Kitu kama hujui ni bora kukaa kimya kuliko kujiaibisha,

Huko Israel hatua gani za ndani zilichukuliwa kuhusu genocide aliyoifanya Natanyahu Gaza mpaka ICC ndio wakatoa Arrest warrant?
 
ICC siyo ya nyumbani kwenu au ya Nari Sarungi. ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza

Hata muwape na katiba ya chumbani kwenu hamna justification ya kuua raia, hata kama wamefanya uhalifu gani, mna mahakama za nini sasa? Mamaduro atakwenda tu endeleeni kuimba mapambio chawa. Haki ya kutoa roho ni ya Mungu tu sio yeyote
 
Back
Top Bottom