ICC confirms charges against 4 of the Ocampo 6.

ICC confirms charges against 4 of the Ocampo 6.

Mahakama hii haina mashiko maana imekaa kwa ajili ya viongozi wa kiafrika tu.
Angalizo lako linaweza kuwa la kweli lakini kuna sababu: Viongozi wa Africa ndio mara nyingi hujifanya "Miungu watu, wang'ang'anizi wa madaraka na wavunjaji wakubwa wa haki za binadamu, ingawa sio peke yao. ICC inazo kesi nyingi toka sehemu mbali mbali duniani. Angalia picha na jihabarishe zaidi.
ICC_investigations.png

ICC investigations (situation September 2011)
Green: Official investigations (Uganda, Congo, Central African Republic, Darfur (Sudan), Kenya, Libya, and Côte d'Ivoire)
Light red: Ongoing preliminary examinations (Afghanistan, Colombia, Guinea, Georgia, Honduras, Nigeria, Palestine and Korea
Dark red: Closed preliminary examinations (Iraq and Venezuela)
[Source: Wikipedia]
 
sasa huyu uhuru Alipoenda kuongea na mungiki alikuwa hajui results?
 
ICC wangekuwa wakweli Bush na Tony Blair kwa suala la Iraq wasingekatiza.
 
sasa huyu uhuru Alipoenda kuongea na mungiki alikuwa hajui results?

Hio ndio inaitwa impunity of the highest order mazee. Imagine mikutano yenyewe ilifanyika Statehouse.
Uhuru is taking the fall for defending Kibaki's theft of the election. Sasa nd'o tutaona asante ya Kibaki katika
hii seketa.

Kisha pia usimsahau Muthaura ambaye ndiye inasemekana ni de-facto President wa Kenya...the man pulling
Kibaki's strings.

Kazi ipo!
 
hakuna case hapa hizi ni siasa tu.

There are more than 1,000 people dead and over 100,000 thousand displaced afu unasema hii ni siasa.
Lets not forget the victims in this case. It is for them that justice is being seeked. Its not politics please!
 
Kenya kama ilivyo Tanzania inahitaji mtu mpya kabisa. Ruto, Raila, Uhuru, Saitoti, Kalonzo, Karua, wote kwa namna moja au nyingine wanahusika na mambo ya 2007. Hawa tayari wana makundi, wafuasi. Visasi vimewajaa vichwani.
 
huyu willium ruto si ndio kaanzisha chama chake juzi juzi tu hapa.so what wil happen?
 
naangalia citizen tv wanajadili live hivi sasa,ruto anatoa maelezo akiwa mpole kama nilivyomuona kafulila jana star tv
 
There are more than 1,000 people dead and over 100,000 thousand displaced afu unasema hii ni siasa.
Lets not forget the victims in this case. It is for them that justice is being seeked. Its not politics please!
Kwangu mimi mtuhumiwa wa KWANZA na wa PILI kwenye mauaji haya ni KIBAKI na RAILA.
 
ICC inashughulika na watu wote na ukifuatilia kuna mifano kibao ya watu kutoka mabara mengine si Afrika peke yake. Kuhusu mashtaka kwa kweli ni vigumu kujua ukweli kwani siri wanayo wahusika wenyewe, Wakenya wenyewe hawaelewi kila mtu na hoja yake, ila tusubiri tuone

tunataka tuwaone bush na blair pale au watuonyeshe silaha za maangamizi Iraki
 
Hio ndio inaitwa impunity of the highest order mazee. Imagine mikutano yenyewe ilifanyika Statehouse.
Uhuru is taking the fall for defending Kibaki's theft of the election. Sasa nd'o tutaona asante ya Kibaki katika
hii seketa.

Kisha pia usimsahau Muthaura ambaye ndiye inasemekana ni de-facto President wa Kenya...the man pulling
Kibaki's strings.

Kazi ipo!

AB Tichaz ..you are talking about Kbaki? i dont think if he will do anything: atasema "sisi tuko hapa wao wapo huko , kule kule hapapa etc." i dont think if he is really able to help Uhuru, and how?
 
Back
Top Bottom