Alimsikiliza banyikwa was tss pekeeJpm wetu ameshaanza kuogopeshwa na uelekeo wa taifa siku hizi anaongea kwa tone ya chini utafikili kuna mtu amemtisha.Pia mvi zimeongezeka sana na pia makunyazi ya sura yenye stress yameongezeka usoni mwake.
TATIZO BABA YETU ANATOA MAAMUZI KUTOKANA NA INFORS ANAZOPEWA NA TISS TU ALITAKIWA ATUMIE WATAALAM WA FIELD HUSIKA MFANO KOROSHO ALITAKIWA AWAKALISHE CHINI SEKTA YA KILIMO NA BIASHARA YEYE AJE KUTANGAZA KILICHOKUBALIWA KUPOROMOKA KWA TSH YETU NI KIKAO KATI YA MA EXPERT WA BOT NA WACHUMI WAJE NA HATUA MADHUBUTI NA KWA VILE ANAOGOPEKA ALITAKIWA VIKAO VYOTE YEYE ASIWEPO.
Sent using Jamii Forums mobile app
@maxence Mello umeombwa ukaupeleke Jukwaa la siasa Maxence Melohuu uzi naomba uongozi wa JF waulete jukwaa la siasa, hapa si mahali pake
Mkuu nimefuatilia kuona hii thread ni ya lini... naona ni ya October 2015. Huyu jamaa ana nyota ya utabiri au anamjua vilivyo bwana mkubwa au ndie mshauri wake mkuu. Ila hapo kwenye majembe aliyoyataja ni kweli aliwakumbuka lakini naona wametumbiliwa kabakia mmoja... je yawezekana naye atatumbuliwa?? Au mkubwa kaanza kwenda kinyume na mtabiri/mshauri
Ila kwa namna bwana mkubwa anavyoendesha gari lake ni rahisi sana kutabiri yatakayofuata. Huhitaji kuwa mtabiri mahiri kutabiri atakachokifanya baada ya tukio fulani kutokea...
Muda utatupa majibu zaidi...
#KANYAGADah najuta kuyaandika mengine
YoteAisee...yanatokea nukta kwa nukta.
Wakuu Malcom Lumumba chige Sky Eclat Asprin BAK Mwifwa Pascal Mayalla
Mnayaina haya?
Siwezi KuwalinganishaHivi wewe Pimbi iq ya Kenyatta unaweza kuilinganisha na Magufuri Dunderhead.
Thread imeandikwa oct 2015 comment ya kwanza Nov 2018 daaKuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?
Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,
Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,
1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,
2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,
3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,
3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,
4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,
5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,
Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,
Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana
Mungu Ibariki Tanzania
Iliwekwa kabatini kwanzaThread imeandikwa oct 2015 comment ya kwanza Nov 2018 daa
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?
Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,
Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,
1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,
2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,
3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,
3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,
4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,
5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,
Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,
Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana
Mungu Ibariki Tanzania
Ilikuwa lockdownThread imeandikwa oct 2015 comment ya kwanza Nov 2018 daa