• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Elections 2015 ICC alichomoka Kenyatta na kesi ya mauaji sembuse Magufuli?!!

britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
12,956
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
12,956 2,000
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?

Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,

Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,

1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,

2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,

3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,

3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,

4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,

5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,

Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,

Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana

Mungu Ibariki Tanzania
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
61,286
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
61,286 2,000
Aisee...yanatokea nukta kwa nukta.
Wakuu Malcom Lumumba chige Sky Eclat Asprin BAK Mwifwa Pascal Mayalla
Mnayaina haya?
Mkuu nimefuatilia kuona hii thread ni ya lini... naona ni ya October 2015. Huyu jamaa ana nyota ya utabiri au anamjua vilivyo bwana mkubwa au ndie mshauri wake mkuu. Ila hapo kwenye majembe aliyoyataja ni kweli aliwakumbuka lakini naona wametumbiliwa kabakia mmoja... je yawezekana naye atatumbuliwa?? Au mkubwa kaanza kwenda kinyume na mtabiri/mshauri

Ila kwa namna bwana mkubwa anavyoendesha gari lake ni rahisi sana kutabiri yatakayofuata. Huhitaji kuwa mtabiri mahiri kutabiri atakachokifanya baada ya tukio fulani kutokea...

Muda utatupa majibu zaidi...
 
C

Chige

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2008
Messages
9,214
Points
2,000
C

Chige

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2008
9,214 2,000
Aisee...yanatokea nukta kwa nukta.
Wakuu Malcom Lumumba chige Sky Eclat Asprin BAK Mwifwa Pascal Mayalla
Mnayaina haya?
Mkuu Consigliere!!

Ukweli ni kwamba, mpaka sasa utawala wa Magu umefanya mambo mengi sana ya hovyo na ukandamizaji wa demokrasia! Lakini kwa bahati mbaya au mzuri, kwa hapa alipofika bado hapa-qualify kumpeleka ICC na wala si kwa hoja aliyoitoa britanicca kwamba, ikiwa hata Kenyatta alichomoka, seuze Magu!

Kenyatta ali-qualify kufikishwa ICC lakini lakini ni bahati mbaya tu hawakutokea wa kuwathibitisha uhalifu wake!!

Hata hivyo, Magu ni rahisi sana kuingia kwenye kitanzi cha ICC kwa sababu ni mtu wa jazba na anayeshindwa kutumia busara pale panapohitajika matumizi ya busara! Ukiangalia jinsi alivyokuwa ame-panic na April 26 ya Mange Kimambi ndipo unapoweza kuona Magu ni mtu wa aina gani!

Yaani katika hali ya ajabu kabisa, Magu alionekana wazi kujiandaa kutumia extreme force kutaka kupambana na vivuli!
 
kinundu

kinundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
2,031
Points
2,000
kinundu

kinundu

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
2,031 2,000
Muandiko kama wa shoga umekaa kuchamba chamba sanaa ama ni jinsia ke
 
Jhounne

Jhounne

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Messages
1,058
Points
2,000
Jhounne

Jhounne

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2018
1,058 2,000
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?

Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,

Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,

1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,

2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,

3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,

3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,

4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,

5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,

Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,

Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana

Mungu Ibariki Tanzania
Hahahaaa
 
Patriot

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
4,387
Points
2,000
Patriot

Patriot

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
4,387 2,000
Unaandika ndo yanatelekezwa asilimia zote eeeh yanayotokea yote huwa yameshapangwa inabaki utekelezaji tu. Kwanini nguvu hii isitumike kwenye mambo ya msingi?
Mambo ya msingi ni yapi ambayo unaamini anatakiwa kuyafanya?
 
cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Messages
7,711
Points
2,000
cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2015
7,711 2,000

Mambo ya kusaidia vijana mambo ya ajira au kuweka mazingira rafiki kwa vijana wanao chapa kazi, pia kuondoa umaskini kwa wananchi kitu ambacho ni janga la taifa, wakulima wanalanguliwa sana, Bila kusahau kujenga small industries za kuhifadhi matunda na mazao yanayo haribika.maana uchumi wetu wa kilimo sasa wananchi huuzuia mazao shambani kitendo kina chowapa umaskini
 
Patriot

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
4,387
Points
2,000
Patriot

Patriot

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
4,387 2,000
Mambo ya kusaidia vijana mambo ya ajira au kuweka mazingira rafiki kwa vijana wanao chapa kazi, pia kuondoa umaskini kwa wananchi kitu ambacho ni janga la taifa, wakulima wanalanguliwa sana, Bila kusahau kujenga small industries za kuhifadhi matunda na mazao yanayo haribika.maana uchumi wetu wa kilimo sasa wananchi huuzuia mazao shambani kitendo kina chowapa umaskini
Ukiamua kuwa na fikra neutral na kuacha ushabiki utagundua kwamba hivi ndivyo serikali huendeshwa. Yafanyikayo ndo ya msingi. HIzi siyo enzi za ahadi za majukwaani bila fikra. Ahadi zinazowafurahisha wa-TZ ni kama zile za awamu ya 4. Studio ya kurekodi mziki, wanashangilia. Ukiwaletea kocha toka Brazil hawakuulizi gharama. Ukicheza nao muziki wanakupenda eti unajichanganya. Upuuzi kama huo hautegemewi kwa kiongozi wa nchi.

Ulivyoweka hiyo list ya mambo ndiyo yanayofanyika! Tatizo lako unayataja kama mbunge wa upinzani bila undani wake. Tushike adabu tu, hiyo ndo serikali.
 
cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Messages
7,711
Points
2,000
cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2015
7,711 2,000
Ndio hzo ni fikra zangu neutral kama Raia zisizo egemea upande wowote na nimesemea uhalisia wa vtu ninavo vi ona. Hali mbaya ya uchumi inagusa Raia wote Bila kujali Chama. Hasa ya wakulima na Hali mbovu ya uchumi, sasa ukiona mawazo tofauti usij judge ya mpinzani wengine hatuna vyama, tu napenda nchi yetu ipige hatua na nguvu kubwa iwekezwe kwenye meandeleo ya nchi yetu.

Hyo kweli ya kufungua studio ni kitu minor sana hata kwangu mimi naona hyo studio haigusi Raia wengine so it was useless idea ever, pia hyo ya kuleta kocha mbarazil na watu kushangulia nadhani unajua nature ya Watanzania kupenda vtu vyepesi Bila kujiuliza mpira ni zaidi ya kocha maana timu yetu hata umuelete kocha aliyeifundisha ufaransa na kushinda ubingwa hatutobozi.

So wanasiasa wanajua mpira ni kiunganishi cha Raia wengi Bila kujali itikadi so lazima watumie hyo ku wa win Raia.

N

Nunc dimittis

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2018
Messages
1,142
Points
2,000
N

Nunc dimittis

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2018
1,142 2,000

Viongozi wa chini nao hawajiongezi mfano mashne ya kusindika nyanya au juice haizidi dola elfu kumi
 
Katika development kuna mambo huwezi kuyatatua. Huwa ni mambo ya kuendelea utawala hadi utawala. Hakuna nchi isiyosema kuna tatizo la uchumi. Tatizo letu ni kuwa nyuma ya wengine, basi! Tumpe nguvu aendelee. Anakosea lakini siyo kwa makusudi. Mambo yaliyofanywa na awamu ya 4 mengi ilionekana ni makusudi kabisa! Watu hawalipii bandarini, uongozi unafahamu na hakuna hatua. Awamu ya 3 waziri anawaambia raia hata wale nyasi ndege itanunuliwa.

Let's be serious by congratulating serious leaders. Mtu hadi leo anamissi utawala mbovu kwa kuwa utu alisafiri nje ya nchi bila sababu na kujiwekea pesa!
 
Nakubaliana na wewe Kuna mambo huwa hsyaishi completely hata USA wenyewe pia wanalalamika uchumi kutokuwa stable na hata maskini wako kote duniani sema tu viwango ndo vimezidiana.

Ni kweli awamu hii Kuna mambo inayafanya kwa udhubutu wakati awamu iliyopita wizi wa Mali za umma ilikuwa fashion. Wengine wakijiona untouchable kisa ya Kuwa na fedha but nowadays no one is above the law. Kwa hili nampongeza Magufuli kaweza kweli kunyoosha watu, kuanzia uongozi rushwa zilizidi mno I hope in the future kuanzia uongozi itapungua sana.

Though malalamiko mengi pia yanatokea vile watu walizoea mteremko wa mambo na hela za kijanja so lazima waumie kuanzia Chamani huko.
 
Jerry Ekky

Jerry Ekky

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2018
Messages
734
Points
1,000
Jerry Ekky

Jerry Ekky

JF-Expert Member
Joined May 6, 2018
734 1,000
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?

Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,

Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,

1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,

2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,

3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,

3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,

4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,

5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,

Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,

Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana

Mungu Ibariki Tanzania
Huu uzi umegusa hisia zangu kwa hoja ya ''NI MUDA SASA WA TZ KUJULIKANA KIMATAIFA''. Nimepita pita nchi mbali mbali katika baadhi ya mabara mengine, watu hawaijui TZ kabisa. Kweli lazima tutengeneze identity yetu kama Taifa bila kuweka mbele maslahi ya itikadi zetu.
 
KUDOLE CHA MWISHO

KUDOLE CHA MWISHO

Senior Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
148
Points
250
KUDOLE CHA MWISHO

KUDOLE CHA MWISHO

Senior Member
Joined Aug 13, 2017
148 250
Ila kenyata anajua ngeli nadhan hyo ni moja ya factor iliyo saidia
 
Forum statistics

Threads 1,405,417
Members 531,983
Posts 34,485,509
Top