Elections 2015 ICC alichomoka Kenyatta na kesi ya mauaji sembuse Magufuli?!!

bahati mbaya tu hawakutokea wa kuwathibitisha uhalifu wake!!
Hakuna bahati mbaya kama hii duniani.
Hawakutokea sababu ilikuwa lazima wasitokee. Huo ulazima wa kutotokea ulisababishwa na watuhumiwa na genge lao.
 
mtoto wa mujini Uhuru hakuwahi kujifanya kutunishiana vimisuli vyake vya mende na wababe wa magharibi...

mtindiga huyu hapo hatapona hata afanyeje!!
 
Mkuu, pale unaongea lugha yoyote uijuayo ama upendayo kuitumia na wao watachukua jukumu la kutafuta mtu atakaye tafsiri ili mambo yaende sawa, hivyo kujua ngeli sii tija mkuu
Yes maana hata rais wa korea akienda halazimishwi kutumia English
 
mtoto wa mujini Uhuru hakuwahi kujifanya kutunishiana vimisuli vyake vya mende na wababe wa magharibi...

mtindiga huyu hapo hatapona hata afanyeje!!
Hakuna wa kwenda ICC TZ hii & bado hajatokea, msipotoshe umma
 
Sasa nyie si wasenge tuu ata maji kijijni kwanhu ni shida nakunywa dimbwi moja na ng'ombe kodi natoa mnajenga dar. Na ilaaaniwe CCM mpaka kiama hatumwezi miaka 50+ ya Uhuru mambo ni yaleyale..
 
Jpm alifaa kuwa waziri mkuu sio kuwa raisi ana ukibuli fulani ndo unamponza unajua unaweza deal na wazungu indirect na wasijue kama unawachukia sasa yeye kapigisha watu penalt kwenye mabiashara then hela za mwaka mmoja zimemzuzua kaanza kujiona tajiri(dona kantry?)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa nikiona live sura yake inaongea mengi. Anahtaji msaada
Jpm wetu ameshaanza kuogopeshwa na uelekeo wa taifa siku hizi anaongea kwa tone ya chini utafikili kuna mtu amemtisha.Pia mvi zimeongezeka sana na pia makunyazi ya sura yenye stress yameongezeka usoni mwake.
TATIZO BABA YETU ANATOA MAAMUZI KUTOKANA NA INFORS ANAZOPEWA NA TISS TU ALITAKIWA ATUMIE WATAALAM WA FIELD HUSIKA MFANO KOROSHO ALITAKIWA AWAKALISHE CHINI SEKTA YA KILIMO NA BIASHARA YEYE AJE KUTANGAZA KILICHOKUBALIWA KUPOROMOKA KWA TSH YETU NI KIKAO KATI YA MA EXPERT WA BOT NA WACHUMI WAJE NA HATUA MADHUBUTI NA KWA VILE ANAOGOPEKA ALITAKIWA VIKAO VYOTE YEYE ASIWEPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Azory,aliyehoji Prajarism ya PHD yake! Pesa za watu wa bureau de chnge Dar na Arusha!!! Kutumia pesa bila kufuata budget
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…