britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,634
- 29,999
- Thread starter
- #41
AmefanyajeUmenikumbusha shein😀😀😀😀😀
AmefanyajeUmenikumbusha shein😀😀😀😀😀
Hakuna bahati mbaya kama hii duniani.bahati mbaya tu hawakutokea wa kuwathibitisha uhalifu wake!!
habari ConsigliereAisee...yanatokea nukta kwa nukta.
Wakuu Malcom Lumumba chige Sky Eclat Asprin BAK Mwifwa Pascal Mayalla
Mnayaina haya?
Salama mkuu, tumesha maliza kutafakari na sasa ni kuwajibika kila mtu kwa nafasi na wakati wake.habari Consigliere
mtoto wa mujini Uhuru hakuwahi kujifanya kutunishiana vimisuli vyake vya mende na wababe wa magharibi...Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?
Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,
Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,
1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,
2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,
3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,
3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,
4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,
5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,
Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,
Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana
Mungu Ibariki Tanzania
MhHawa kula kulala bure wa lumumba wanasumbua kweli.
Mkuu, pale unaongea lugha yoyote uijuayo ama upendayo kuitumia na wao watachukua jukumu la kutafuta mtu atakaye tafsiri ili mambo yaende sawa, hivyo kujua ngeli sii tija mkuuIla kenyata anajua ngeli nadhan hyo ni moja ya factor iliyo saidia
Yes maana hata rais wa korea akienda halazimishwi kutumia EnglishMkuu, pale unaongea lugha yoyote uijuayo ama upendayo kuitumia na wao watachukua jukumu la kutafuta mtu atakaye tafsiri ili mambo yaende sawa, hivyo kujua ngeli sii tija mkuu
Hakuna wa kwenda ICC TZ hii & bado hajatokea, msipotoshe ummamtoto wa mujini Uhuru hakuwahi kujifanya kutunishiana vimisuli vyake vya mende na wababe wa magharibi...
mtindiga huyu hapo hatapona hata afanyeje!!
Naam, hivyo ndivyo ilivyo.Yes maana hata rais wa korea akienda halazimishwi kutumia English
time will tell...Hakuna wa kwenda ICC TZ hii & bado hajatokea, msipotoshe umma
What are you trying to say? or what is in your mind?time will tell...
"....time will tell" that's what I said and meant.What are you trying to say? or what is in your mind?
Jpm alifaa kuwa waziri mkuu sio kuwa raisi ana ukibuli fulani ndo unamponza unajua unaweza deal na wazungu indirect na wasijue kama unawachukia sasa yeye kapigisha watu penalt kwenye mabiashara then hela za mwaka mmoja zimemzuzua kaanza kujiona tajiri(dona kantry?)Hilo nalikubali tatizo anaumia wrong approaches ku tackle different problems, badala ya ku solve tatizo inaongeza tatizo maradufu. Pia matamshi yake tata kiuchumi yamekimbiza wawekezaji wengi, ambayo ni umuhimu kwa uchumi wetu. Akirekebisha baadhi ya mambo yuko vzuri anapenda mabadiliko na dhamira yake ni safi atengeneze mifumo ya ku deal na mambo yaende effective. Hata Kuna alio wapa dhamana Wana mu let down hawataki kujituma mpaka a waelekeze ndo watende hao si mizigo.
Jpm wetu ameshaanza kuogopeshwa na uelekeo wa taifa siku hizi anaongea kwa tone ya chini utafikili kuna mtu amemtisha.Pia mvi zimeongezeka sana na pia makunyazi ya sura yenye stress yameongezeka usoni mwake.Kweli kabisa nikiona live sura yake inaongea mengi. Anahtaji msaada
Let's wait & see"....time will tell" that's what I said and meant.
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?
Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,
Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,
1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,
2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,
3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,
3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,
4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,
5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,
Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,
Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana
Mungu Ibariki Tanzania
Magufuli ni rais mzuri asiyependa wazembe ni rais ambaye anapenda maendeleo ya nchi yake sana