britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?
Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,
Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,
1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,
2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,
3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,
3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,
4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,
5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,
Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,
Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana
Mungu Ibariki Tanzania
Ufipa huyo kaamia kwenu huhuhuHawa kula kulala bure wa lumumba wanasumbua kweli.
Uliyoandika ndo yanatelekezwa effectively lohKuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?
Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,
Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,
1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,
2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,
3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,
3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,
4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,
5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,
Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,
Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana
Mungu Ibariki Tanzania
Dah najuta kuyaandika mengineUliyoandika ndo yanatelekezwa effectively loh
Dah najuta kuyaandika mengine
Niliandika tu by coincidenceUnaandika ndo yanatelekezwa asilimia zote eeeh yanayotokea yote huwa yameshapangwa inabaki utekelezaji tu. Kwanini nguvu hii isitumike kwenye mambo ya msingi?
Niliandika tu by coincidence
Magufuli ni rais mzuri asiyependa wazembe ni rais ambaye anapenda maendeleo ya nchi yake sanaNo ulijua kabisa kinacho endelea
Hilo nalikubali tatizo anaumia wrong approaches ku tackle different problems, badala ya ku solve tatizo inaongeza tatizo maradufu. Pia matamshi yake tata kiuchumi yamekimbiza wawekezaji wengi, ambayo ni umuhimu kwa uchumi wetu. Akirekebisha baadhi ya mambo yuko vzuri anapenda mabadiliko na dhamira yake ni safi atengeneze mifumo ya ku deal na mambo yaende effective. Hata Kuna alio wapa dhamana Wana mu let down hawataki kujituma mpaka a waelekeze ndo watende hao si mizigo.Magufuli ni rais mzuri asiyependa wazembe ni rais ambaye anapenda maendeleo ya nchi yake sana
Unajua ni.kweli magufuli anatumia approach ambazo si lazima kila mtu akubaliane nazo.ila angalau 60% wazikubaliHilo nalikubali tatizo anaumia wrong approaches ku tackle different problems, badala ya ku solve tatizo inaongeza tatizo maradufu. Pia matamshi yake tata kiuchumi yamekimbiza wawekezaji wengi, ambayo ni umuhimu kwa uchumi wetu. Akirekebisha baadhi ya mambo yuko vzuri anapenda mabadiliko na dhamira yake ni safi atengeneze mifumo ya ku deal na mambo yaende effective. Hata Kuna alio wapa dhamana Wana mu let down hawataki kujituma mpaka a waelekeze ndo watende hao si mizigo.
Ndio Kuna approaches za kutumia nguvu hzo ni nzuri Ila sasa nyingine kama za uchumi zinahtaji diplomacy na negotiation kati ya timu mbili zinazohusika. Sasa kitu ka jeshi labda lingetumika kwenye uzalisha wa mambo makubwa na sio kutisha wafanyabiaxhara hapo lazima wakimbie kwenda sehemu ambayo friendly kwa uwekezaji, na huku sisi tuna loose kote kote.Unajua ni.kweli magufuli anatumia approach ambazo si lazima kila mtu akubaliane nazo.ila angalau 60% wazikubali
TumuombeeUliyoandika ndo yanatelekezwa effectively loh
Tumuombee
Aisee...yanatokea nukta kwa nukta.Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?
Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,
Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,
1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,
2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,
3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,
3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,
4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,
5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,
Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,
Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana
Mungu Ibariki Tanzania
Tundu Lissu aliyaona haya baada tu ya jamaa kuapishwa, alisema “tuna Rais wa ajabu haijapata kutokea”.Aisee...yanatokea nukta kwa nukta.
Wakuu Malcom Lumumba chige Sky Eclat Asprin BAK Mwifwa Pascal Mayalla
Mnayaina haya?