Elections 2015 ICC alichomoka Kenyatta na kesi ya mauaji sembuse Magufuli?!!

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?

Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,

Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,

1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,

2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,

3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,

3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,

4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,

5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,

Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,

Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana

Mungu Ibariki Tanzania
 
Umenikumbusha shein😀😀😀😀😀
 
Uliyoandika ndo yanatelekezwa effectively loh
 
Magufuli ni rais mzuri asiyependa wazembe ni rais ambaye anapenda maendeleo ya nchi yake sana
Hilo nalikubali tatizo anaumia wrong approaches ku tackle different problems, badala ya ku solve tatizo inaongeza tatizo maradufu. Pia matamshi yake tata kiuchumi yamekimbiza wawekezaji wengi, ambayo ni umuhimu kwa uchumi wetu. Akirekebisha baadhi ya mambo yuko vzuri anapenda mabadiliko na dhamira yake ni safi atengeneze mifumo ya ku deal na mambo yaende effective. Hata Kuna alio wapa dhamana Wana mu let down hawataki kujituma mpaka a waelekeze ndo watende hao si mizigo.
 
Unajua ni.kweli magufuli anatumia approach ambazo si lazima kila mtu akubaliane nazo.ila angalau 60% wazikubali
 
Ndio Kuna approaches za kutumia nguvu hzo ni nzuri Ila sasa nyingine kama za uchumi zinahtaji diplomacy na negotiation kati ya timu mbili zinazohusika. Sasa kitu ka jeshi labda lingetumika kwenye uzalisha wa mambo makubwa na sio kutisha wafanyabiaxhara hapo lazima wakimbie kwenda sehemu ambayo friendly kwa uwekezaji, na huku sisi tuna loose kote kote.
 
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?

Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,

Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,

1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,

2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,

3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,

3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,

4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,

5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,

Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,

Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana

Mungu Ibariki Tanzania
Aisee...yanatokea nukta kwa nukta.
Wakuu Malcom Lumumba chige Sky Eclat Asprin BAK Mwifwa Pascal Mayalla
Mnayaina haya?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom