IBTimes: Who is Maxence Melo arrested for not disclosing anonymous sources?

Nimeamini waafrica tunajimalizaga wenyewe tu... Hiyo ndo fact. We just kill eachother in every possible way we can find. Lets be honest, hatutakaa kuwazidi wenzetu because hatuna ile kitu tinaita "real togetherness"... I dont know why we hate eachother this much.
 
Afrika inatakiwa itawaliwe tena.Hatujaweza kujitawala!Ndio maana inadhaniwa kuwa taarifa zikiwafikia wazungu,huenda wakashinikiza kupitia misaada wanayotoa ili uhuru wa kutoa maoni usikandamizwe.Lengo likiwa kupunguza makundi yanayotumia ugaidi kutaka sauti zao zisikike
 


Magufuli anahusika na hili? Hii Sheria ilipitushwa na Bunge ambapo Wapinzani walikuwepo sasa iweje uje kumlaumu Raisi kwa utekelezaji wa Sheria halali? Ndiyo maana hata Wazungu wenu wanawapuuzia kwa maana hamna hoja!
 
muda mwingine ni bora unyamaze waweza onekana una busara hata ya kukaa kimya,

usipost hisia zako kudhihirishia umma jinsi gani usivyofikiri[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Kumbe hili saga lilianza enzi za JK?
 
We Si ulisema JF ni 1% na wazungu hawana muda wa kusikiliza wana mambo muhimu.

IB Times, CNN, New York Times ni ya Waafrica?

Kichwa chako kimejaa maji ya nazi.

Barbarosa njoo upasuliwe huku watu wakukune labda unawasha kipele wewe sio bure.
 
Bora mhangaika bure kuliko mkaa bure anaye kubali na kuridhika na oppression kwa kisingizio cha hana jinsi. Acha ulimwengu mzima ujue kuhusu udhalimu huu tunaofanyiwa wana wa tanzania, ila hatutoacha kupaza sauti zetu.
 
Aisee, we dogo ni mtu wa namna gani!?!?
Hivi huoni watu wanachokipigania hapa.!
 
Tangu lini jinsia ya mtu ikapimwa kwa huo unaouita unafiki?
Ebu ifikie mahali ufungwe hicho kinywa chako na usome alama za nyakati!! maana hujishutukii tu watu wote wanakushushua wewe hujioni kama una shida.. si ajabu ujasafisha kinywa umekurupukia huku kuandika mashudu yako..!!
 
African man do not talk the way you do,if you really are a man you need a quick transgender fix to reflect your actions..apologise


Kwa hiyo wewe unajua zaidi kuhusu jinsia yangu kuliko mimi mwenyewe? Basi hongera!
 
Ebu ifikie mahali ufungwe hicho kinywa chako na usome alama za nyakati!! maana hujishutukii tu watu wote wanakushushua wewe hujioni kama una shida.. si ajabu ujasafisha kinywa umekurupukia huku kuandika mashudu yako..!!


Hapo sasa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…