Kwahiyo wewe unatakaje yaani? Watu wafungwe midomo?Lkn mwisho wa siku tutapoteza wote kama unachukulia Libya au Iraki kama mfano hivyo hata hicho unachotaka kukipata hautakipata lkn ukizungumza na kutambua na kuheshimu Mamlaka ikiyopo uwezekano wa kufika mbali ni mkubwa!
Haya mambo hayataki hasira Serikali na Raisi wa JMTZ ndo walioshika mpini na huo ndio ukweli!
Hakuna mtu amepata negative press kama Mugabe lkn hao akina Tsvangirai wako leo hii? Wazungu wenyewe wameshawapotezea ...
Ujinga buana ni sheeda nikajua labda utatimia page ya gazeti la uhuru ku comment dah!! Kumbe bado upo humuhumu ???? Kumbe bado ,naipenda jamiiforum eti?Hahaha mtapekuwa Dunia nzima leo, lkn mnachokitafuta wala hamtakipata, lkn msife moyo labda Al Jazeera, CNN au hata EU wataacha kushughulika na Brexit waje kutoa live coverage kuhusu jamiiforums!!
Kweli Muafrika ni mtoto wa Muzungu, yaani yote haya ilikusikia tu Mzungu atasema nini, mbona hamuendi kuwaambia Wajapani pia au wao siyo watu?
Halafu cha ajabu sasa labda kuliko vyote, hizo njia mnazopita wajinga wenzenu wa Afrika nzima kama Tsvangigrai, sijui Besigye &Co. walizipita hizo hizo na hakuna kitu walipata, lkn na niyni mnayafanya yale yale walioyafanya wenzenu ingawaje kila mtu anajua kwamba ni matokeo 0!
What it is is your problem African woman?!!!
African man sio wanafiki!Mimi ni African man!
Kutwa nzima upo Jf kupost halafu unaleta pumbaWho cares?
Hayo ni yako ila jinsia yangu ni ME![/QUOTE
ww ni wakupuuza.Huna maana ww
Sio kwa unafiki unaouonyesha!Hayo ni yako ila jinsia yangu ni ME!
Ww ni wakukupuuza.huna akili,mabwana zako wanaokutuma na huko unapopeleka habari waambie mmeshindwa.mnafiki ukiekubuhu wwMimi ni African man!
Unatafuta ukuu WA wilaya?Hahaha mtapekuwa Dunia nzima leo, lkn mnachokitafuta wala hamtakipata, lkn msife moyo labda Al Jazeera, CNN au hata EU wataacha kushughulika na Brexit waje kutoa live coverage kuhusu jamiiforums!!
Kweli Muafrika ni mtoto wa Muzungu, yaani yote haya ilikusikia tu Mzungu atasema nini, mbona hamuendi kuwaambia Wajapani pia au wao siyo watu?
Halafu cha ajabu sasa labda kuliko vyote, hizo njia mnazopita wajinga wenzenu wa Afrika nzima kama Tsvangigrai, sijui Besigye &Co. walizipita hizo hizo na hakuna kitu walipata, lkn na niyni mnayafanya yale yale walioyafanya wenzenu ingawaje kila mtu anajua kwamba ni matokeo 0!
Sio kwa unafiki unaouonyesha!
Daaaaah!!Hahaha mtapekuwa Dunia nzima leo, lkn mnachokitafuta wala hamtakipata, lkn msife moyo labda Al Jazeera, CNN au hata EU wataacha kushughulika na Brexit waje kutoa live coverage kuhusu jamiiforums!!
Kweli Muafrika ni mtoto wa Muzungu, yaani yote haya ilikusikia tu Mzungu atasema nini, mbona hamuendi kuwaambia Wajapani pia au wao siyo watu?
Halafu cha ajabu sasa labda kuliko vyote, hizo njia mnazopita wajinga wenzenu wa Afrika nzima kama Tsvangigrai, sijui Besigye &Co. walizipita hizo hizo na hakuna kitu walipata, lkn na niyni mnayafanya yale yale walioyafanya wenzenu ingawaje kila mtu anajua kwamba ni matokeo 0!
Kwa hiyo kwa sababu huko mnazo PhD na hamjui Kiingereza mmeshajiaminisha kuwa mkiona kiingereza mahali tu basi ni mzungu na mnatumia kisingizio kuwa Kiingereza ni utumwa ili mkwepe kukiongea. Tuzungumze kwa hoja jamani, hiyo ni lugha tu. Wala sioni mahali panapoonesha mzungu kwenye uzi.Hahaha mtapekuwa Dunia nzima leo, lkn mnachokitafuta wala hamtakipata, lkn msife moyo labda Al Jazeera, CNN au hata EU wataacha kushughulika na Brexit waje kutoa live coverage kuhusu jamiiforums!!
Kweli Muafrika ni mtoto wa Muzungu, yaani yote haya ilikusikia tu Mzungu atasema nini, mbona hamuendi kuwaambia Wajapani pia au wao siyo watu?
Halafu cha ajabu sasa labda kuliko vyote, hizo njia mnazopita wajinga wenzenu wa Afrika nzima kama Tsvangigrai, sijui Besigye &Co. walizipita hizo hizo na hakuna kitu walipata, lkn na niyni mnayafanya yale yale walioyafanya wenzenu ingawaje kila mtu anajua kwamba ni matokeo 0!
Kumbe ulitaka tumuone nani ndio suluhisho??Limenigusa sana tena sana klk hata unavyodhania ila sijapendezwa na kumuona Mzungu ndiyo suluhisho!
Lol.hiyo internet na vifaa vyote unavyotumia vililetwa na waafrika?JF itakufa iwapo watafanikiwa,kwani ikifika mahali watu hawawezi kutoa maoni yangu kwa dhati hawato shiriki,na watu wengi hawata post barua yeyote ya serikali bila idhini,JF imetukusanya watu tofauti na mawazo tofauti,ukiona serikali huwezi kupambana nao kwa kutumie sheria na mahakama ambaye iko chini ya serikali,ni lazima watu watoe hiyo aibu kwa watu wengine duniani na kuona kinachoendelea huku,hata ndoa yako haiwezi kudumu iwapo mkeo uliomchagua ndiyo anakupangia ya kuzungumza na yakufikiri,JPM namuunga mkono kwa mengi lakini kwa hili simuungi hata kidogo,leo yeye siyo malaika akikosea watu watamsema wapi?iwapo mawaziri,wabunge wanamwogopa?huu ni uhuru wetu na tunatakiwa tuipiganie kwa namna yeyote hata kama haitatufurahisha baadhi lakini JF ni yetu.Njia mbadala ni sisi kutatua matatizo yetu wenyewe, hili mbona linaongeleka nilivyoona Max hajateswa wala kupigwa ina maana yuko mikono salama ni swala la kukaa na Serikali kutafuta muafaka na inawezekana lkn watu wanavyoanza kuzunguka kwa Wazungu kuisema Serikali hakuna watakachofanikiwa kwani Serikali nao watajibu na mwisho wa siku hakuna mshindi!
Mzungu hajawahi kutatua tatizo la Mwafrika hata siku moja bila kuanzisha lingine kubwa zaidi, hivyo kwangu mimi hii ni ishu ndogo na inazungumzika baina ya sisi wenyewe!
Huyu BARBOSA ameajiriwa kwa kazi hii,ndio mpeleka habari na anaihujumu jf.ni mtu mbaya sana,jf imchukulie hatua.Daaaaah!!
Ivi mtu kama wewe una fanya nini mpaka mda huu JF kwa nini @Mods, Jamii forum mna mwachia uyu kilaza/ kichwa maji aendelee kuchafua hali ya hewa humu ndani?
Si ajabu mijitu ya hivi ndio inayo tuchongea uko kwa wakubwa mtandao wetu pendwa ufungiwe!!
Mi naomba tum report kwa wingi lipigwe Bann tena ile life Ban ili asiendelee kutuletea uozo wake!
Shame on u Dada Barbosa!!