Kama ulikua hujui kuwa TRAORE AMEKATAA MSAADA WA MISIKITI KUTOKA SAUDIA ARABIA wacha nikufahamishe;-
Rais wa BURKINA FASO muheshimiwa IBRAHIM TRAORE,
Amekataa msaada kutoka SAUDI ARABIA,
Wakutaka kujengwa misikiti 200 nchini humo,
Akikataa msaada huo kapteni TRAORE amesema;-
" Msaada wanyumba za ibada ni jambo muhimu sana,
Lakini kufanya ibada ukiwa na njaa ni sawa na kupiga kelele tu,
Kama SAUDIA ARABIA inataka kutupa msaada,
Itupe msaada kwa kuelekezwa katika miradi ya miundombinu muhimu,
Kama vile shule, hospitali pamoja na biashara,
Zinazoweza kuleta ajira kwa wananchi wa BURKINA FASO,
Kwasababu tayari nchini mwetu kuna idadi kubwa ya misikiti,
Ambayo mingine haijatumika kikamilifu mpaka sasa,
Sasa kama msaada wenu maelekezo yake ni misikiti tu hatutaki,
Kwasababu hicho siyo kipaumbele chetu kwasasa,
Lakini pia sisi hatujaomba msaada wowote kutoka kwenu,
Japo mukitupa hatuwezi kukataa lakini musitupangie vitu vya kufanya,
Balozi nimekuita hapa ili usikie msimamo wetu,
Lakini pia nimekuita hapa ili umpelekee ujumbe huu mfalme wako,
Mwambie awe na adabu kwa watu wa BURKINA FASO,
Asitupangie vitu vya kufanya sisi hatupangiwi na mtu,
Hii ni nchi huru ashike adabu yake hawezi kutupangia,
Nina kueleza haya leo hadharani kwasababu,
Nilishampelekea ujumbe kwa maandishi kupitia balozi wangu kule kwenu,
Kuwa hicho anachotaka kutusaidia siyo kipaumbele chetu kwasasa,
Matokeo yake amewatuma watu wake waje kuniomba nikubali huo msaada,
Kwani ni lazima mtu au nchi kupokea msaada,
Kwanini ananilazimisha nipokee huo msaada,
Unanini kwani huo msaada wa misikiti ndani yake,
Labda nimwambie tu kuwa ninajua ana ushirika mkubwa na marekani na ufaransa,
Na kwenye hili naona anatumika kutaka kutuangamiza hatoweza,
Mimi nina akili kuliko yeye huyo kiongozi wako,
Ndiyo maana anakubali kutumika kama kibaraka,
Sasa nenda kamwambie ashike adabu yake.