Ibrahim Lipumba aendelea na Ziara zake

Ibrahim Lipumba aendelea na Ziara zake

B
Hata Lowassa mlimtukana weee, lakini hivi sasa ni boss wenu na mmeufyata
Chunga kauli zako.
Ha ha ha.
BOSI WA WATZ YEYE ALIAMUA NJI HII IWE YA AMANI ANGEAMUA VINGINEVYO SAHIZI INGEKUWA NI MAPANGA NSHAAAA HANA MIIHEMKO WALA MATAMKO............

SI MCHOCHEZI WALA HANA KAULI ZA KICHOCHEZI KEJELI WALA VIJEMBE. KAMA NANIHII AHAAA PAMOJA NA KUFAHAMU YOOTE YALIYOENDELEA LAKINI ALIAMUA KUKAA KIMYAAAA KAMA MAJI YA MTUNGI
 
Prof. yupo sahihi, kuliko kwenda kufungua keshi ulaya ya kudai urais yeye anajenga chama, hii ndo siasa
 
Prof Lipumba labda anafanya utafiti lakini pale anapo jihusisha na kufungua account mpya ya CUF hapo nimemuwekea alama ya ? Watanzania wengi tunaopenda kufuatilia siasa za Tanzania tuna mshangaa sana msomi huyu ambaye hatunzi kauli zake hivi hao wanao muunga mkono ni kwa lipi (Prof Limpumba does not keep his words as a public figure)


wew kama nani kuwasemea watanzania em jisemee ww kama mtanzania na co kubeba mawazo ya wengne wakat watanzania kila mtu na fikra yake...acha ulofa bwana.....
 
Kiukweli mambo yake safi, naona mahudhurio mazuri.
Pasco
Tena safi sana, mahudhurio ya tena ya kishindo, nilifikiri anaehutubia ni Mwenyekiti wa chama tawala.Lipumba ni Nyati aliojeruhiwa. Sijui wameamkiana vipi.........chali......kifo cha mende!
 
14642186_1808898072681106_4053506073977002040_n.jpg

***
Recently somewhere...!!.
 
anajikaanga kwa mafuta yake....................nangoja nione mwisho wake
 
watu wengine bana, hadi mishipa ya aibu ilishakata
 
Hao walioudhuria wangekua cuf kweli,baragashia zingekua nyingi sana umo ndani,uchache wa baragashia unadhihirisha kwamba walioudhuria wengi ni ccm.
Kwani msikitini hapo useme wameenda kupata hotba ?
 
Back
Top Bottom