Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,154
- 128,812
Mkuu Kaka Kiiza, mimi Pasco niwe mchochezi kwa lipi and what for? .Pasco wewe umekuwa mchochezi mkuu katika hii gari!😀😀
Pasco
Mkuu Kaka Kiiza, mimi Pasco niwe mchochezi kwa lipi and what for? .Pasco wewe umekuwa mchochezi mkuu katika hii gari!😀😀
Dah..Nilikuwa siamini kama idadi itafika 400,000 ....haihitaji kuwa na phd kujua kinachoendelea kwanza mikutano ya kisiasa ilikomeshwa mpaka 2020
yeye anafanya tena kwa ulinzi wa polisi wa ccm....... unaweza kusema hii ruhusa kaipatia wapi na kwanini wakati watu walikuwa wanafwatwa hata vyumbani wakiwa wanamazungumzo na kuhangaishwa
Hahaha weee huyo umefikisha hiyo idadi.... Umeshaanza tiba?!Dah..Nilikuwa siamini kama idadi itafika 400,000 ....
Kwani ni uongo kuwa cdm haikununuliwa?? Je cdm kuna sera ya kupinga ufisadi+Wewe muda wote ni kutetea ujinga tu kama ilivyo ID yako.
weka akiba ya maneno na usije ukabadili gia anganiHela alizopewa na maccm zina kipengele cha kujiabisha kisiasa mpaka adhalilike na kudharauliwa ndiyo ataachwa azitumie kwa uhuru, usicheze na hela za bure wewe
Wakala wa maziwa makuu kwa akina ngosha uko vizuri ila ujue haki na haramu kamwe havitengamaniKiukweli mambo yake safi, naona mahudhurio mazuri.
Pasco
Hivi ni ziara au matembezi ?View attachment 416490
Ni jambo jema kutambua kwa mwanasiasa muda gani ataihudumu siasa na muda gani atapaswa kuishi nje ya maisha ya kisiasa
Mwalim Ibrahim lipumba ameshindwa kung'amua......akiendelea na ziara zake
Hata Lowassa mlimtukana weee, lakini hivi sasa ni boss wenu na mmeufyataHela alizopewa na maccm zina kipengele cha kujiabisha kisiasa mpaka adhalilike na kudharauliwa ndiyo ataachwa azitumie kwa uhuru, usicheze na hela za bure wewe
Kama kweli wewe ni mtanzania unaejinasibu kufuatilia siasa za Tanzania,ungeanza kuwashangaa chadema kwanza,kabla ya LipumbaProf Lipumba labda anafanya utafiti lakini pale anapo jihusisha na kufungua account mpya ya CUF hapo nimemuwekea alama ya ? Watanzania wengi tunaopenda kufuatilia siasa za Tanzania tuna mshangaa sana msomi huyu ambaye hatunzi kauli zake hivi hao wanao muunga mkono ni kwa lipi (Prof Limpumba does not keep his words as a public figure)
Rigor motis and burial. Need we say more?The last kick of dying horse
Wameinua kadi vichwani?? Utamjuaje mwana ccm kwa kutumia vichogo?Mbona hao waliohudhuria wengi ni wana CCM?
Hao wafuasi ni wana ccm bila shaka,View attachment 416490
Ni jambo jema kutambua kwa mwanasiasa muda gani ataihudumu siasa na muda gani atapaswa kuishi nje ya maisha ya kisiasa
Mwalim Ibrahim lipumba ameshindwa kung'amua......akiendelea na ziara zake
kula tano mkuu,CUF inanganganiwa huku na huku, sasa kwa hz nguvu mbili zinazoivuta CUF kama haitapusuka katikati mwaka huu sijui.
Vyovyote iwavyo pesa ina nguvu lakini haiwezi kuushinda moyo. Mioyo ya wengi najua inapenda upinzani wa kweli na nina imani kuna siku pesa itajitenga na ukweli na CUF salama inabakia.
Ni sawa na kuoa mwanamke kwa sababu kapenda hela yako, ila kumbe kuna jamaa yake wa ukweli anampenda, hata ufanyeje atachepuka tu kuridhisha moyo wake..
Nawashauri CUF warudi njia kuu,, mchepuko siyo deal😎😎
Wewe ni mgeni na siasa za Tanzania?Wameinua kadi vichwani?? Utamjuaje mwana ccm kwa kutumia vichogo?
View attachment 416490
Ni jambo jema kutambua kwa mwanasiasa muda gani ataihudumu siasa na muda gani atapaswa kuishi nje ya maisha ya kisiasa
Mwalim Ibrahim lipumba ameshindwa kung'amua......akiendelea na ziara zake