Utafiti wa interahamwe?huijui Rwanda wala hujui maana ya utafitiAcheni uongo hapo ni Rwanda bwana yule anafanya utafiti halafu mnatudanganya eti ni mkutano wa kisiasa?
Huo ni uchochezi kabisaa
View attachment 416490
Ni jambo jema kutambua kwa mwanasiasa muda gani ataihudumu siasa na muda gani atapaswa kuishi nje ya maisha ya kisiasa
Mwalim Ibrahim lipumba ameshindwa kung'amua......akiendelea na ziara zake
View attachment 416490
Ni jambo jema kutambua kwa mwanasiasa muda gani ataihudumu siasa na muda gani atapaswa kuishi nje ya maisha ya kisiasa
Mwalim Ibrahim lipumba ameshindwa kung'amua......akiendelea na ziara zake
haihitaji kuwa na phd kujua kinachoendelea kwanza mikutano ya kisiasa ilikomeshwa mpaka 2020Una ushahid na unacho kisema???
bado anapewaaMshitueni!!! Anamaliza viela vyoote alivyopewa kwa mission hiyo kisha anachalala na thamani yake kwisha kabisa!!!
kwani lipumba ni wa chadema ?Viva pr lipumba waache chadema waendelee kudema dema lipumba pasua anga kelele za mpangaji hazimzuii mwenye nyumba kulala
CCM kazini,proffessor mzima hana hata mishipa ya aibuNi vema sasa kukifufua chama baada ya kutekwa.
kwa Lipumba tuMikutano imeruhusiwa kwa ambao si wabunge, madiwani?
Pasco wewe umekuwa mchochezi mkuu katika hii gari!😀😀Kiukweli mambo yake safi, naona mahudhurio mazuri.
Pasco