Ibrah wa Konde Gang anaimba sana huyu dogo

Nitachelewa bonge la songi..

Mainstream media zinacheza ngoma za hovyo hovyo tu za mpelekee moto,pwaah na kuacha kuupa airtime muziki mzuri..
Hiyo mpelekee Moto imeimbwa na Nani? Nimeona Inatajwatajwa Sana
 
Leo nimechukua muda wa masaa matatu kuisikiliza nyimbo Mpya ya uyu IBRAH wa KONDE GANG ambayo inaitwa nipende

Uyu dogo ana kipaji Cha Hali ya juu na Ni fundi wa kuimba staili na mitindo mbali mbali kwa kweli dogo anajua màana waswahili wanasema mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni IBRAH Ni fundi Sana wa kuimba na ana sauti nzuri Sana

Pili anajua kuyatamka maneno yote vizuri kitu kinachofanya msikilizaji aweze kuisikiliza vizuri wimbo wake na kuuelewa bila kificho kwa kweli apa HARMONIZE alitumia jicho la tatu kumchukua uyu dogo hii Ni pontial kubwa Sana ijayo ya KONDE GANG no suala la muda tu lakini IBRAH atakuja kutikisa Sana Sana na atakuwa big artist na amini pesa anayoitumia HARMONIZE kwa uyu dogo itakuja kurudi ata Mara tatu yake màana dogo ana uwezo makubwa Sana wa kutunga kuandika na kuimba alafu pia Ni mkali Sana wa kuchangia melody big up IBRAH CHINGA

wabongo tuache unafiki mtu anapofanya vizuri tumsifie Sio eti kisa wewe Ni timu fulani Basi ndo ata mtu asiye kwenye timu Yako afanye vizuri kiasi gani huwezi kumsifia hii so dawa.

Ushaachwa,pole
 
Dogo nyimbo zote analia Lia tuu , hapishani na Aslaya , Bora marioo kidog hubadirika ..... Hao madogo hawana upeo mkubwa wa utunzi , style Yao ni hyo tuuu
One night stand vipi?

Wengine wamemkubali sio lazima umkubali wewe kamskilize zuchu inatosha
 
We huoni namba zake zilianzia juu now zinashuka chini hujiulizi Tu kuna shida sehemu we Muarusha vip ...
Channel yake ya mwanzo ilifungiwa ndo maana kaanza upya sasa ulitaka iwe vipi mzee?

Kila msanii ana target kariba Fulani imsikie huwezi kueleweka na wote mmojawapo wewe
 
Channel yake ya mwanzo ilifungiwa ndo maana kaanza upya sasa ulitaka iwe vipi mzee?

Kila msanii ana target kariba Fulani imsikie huwezi kueleweka na wote mmojawapo wewe
Soko na mda (Time) vitajibu Kwa ufasaha hii hoja
 
1:Mpelekee Moto by Baddest47
2:pwaaah by Baddest 47 X Whozu
3:Shobo by RJ the DJ ft Mabantu
4:Nawakera by Mabantu
5:Aaah wapi Whozu ft Baddest47
6:Bado sana by Lavalava ft Diamond
7:Shusha by Mama levo ft Diamond
8:Wozah by Rayvanny ft Diamond
Hizi nyimbo ni Useless sana but zina'bang kinyax man
Nitachelewa bonge la songi..

Mainstream media zinacheza ngoma za hovyo hovyo tu za mpelekee moto,pwaah na kuacha kuupa airtime muziki mzuri..
 
Anajua kuimba ila hayupo sehemu sahihi na kutoboa sidhani ndo maana hapigwi sana, mimi sio shabiki yake sana ila hii nyimbo mpya nimeikubali sana tatizo haitofika kokote Harmo hawezi kumanage kabisa msanii wake anatoa nyimbo nae anatoa kiki anamfunika Ibrah atasubiri sana kufika anapotaka chini ya jamaa.
 
1:Mpelekee Moto by Baddest47
2:pwaaah by Baddest 47 X Whozu
3:Shobo by RJ the DJ ft Mabantu
4:Nawakera by Mabantu
5:Aaah wapi Whozu ft Baddest47
6:Bado sana by Lavalava ft Diamond
7:Shusha by Mama levo ft Diamond
8:Wozah by Rayvanny ft Diamond
Hizi nyimbo ni Useless sana but zina'bang kinyax man
Kwanini unasema useless nawakati hizo ni strategic release hazijaimbwa kwa bahati mbaya ni watu wanaojua flexibility ya soko na wakaendana nayo.
 
hao wanao imba ujinga wao wameisha achana na sanaa kitambo tu wakaamua kufanya muziki pekee maana sanaa haina fedha, kina ibrah wao bado wanafanya sanaa
 
Back
Top Bottom