Ibara ya 35 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Katiba mpya ndio muarubaini wa hii mikanganyiko.
Bunge ndio linatakiwa liidhinishe fedha zote za Serikali ndio italeta ufanisi. Hili la mtu mmoja kufanya yote ndio maana madudu hayaishi.
 
UKITAKA KUJENGA NYUMBA IMARA ANZA NA MSINGI IMARA.....sasa ili tuwe na katiba iliyo BORA tuanze kujenga kwanza katiBA zilizo bora ndani ya VYAMA VYETU ESPECIALLY VYA UPINZANI kwanza wanatakiwa waonje uchungu wa katiba unaoangalia MASLAI YA WANACHAMA WAO KWANZA WANATAKA NINI NA SI VIONGOZI KWANZA.....tukilifanikisha hilo ndipo tutaweza PATA KATIBA BORA KABSA YA NCHI HII maana tutatoka na uo msingi wa kuwaangalia wanachama kwanza then tutakuja KUDAI KATIBA INAYOANGALIA MASLAI WA WANANCHI KWANZA NA SI VIONGOZI KWANZA
Ya ccm ina ubora gani,kama ndani ya mia 39 mnawenyeviti watano tu,lini mlitoa fursa anaetaka achukue form ya uenyekiti
 
Serikali ipo juu ya mihimili yote.

Hili jibu (Serikali ina mizizi mirefu) sikulitegemea kutoka kwa raisi. Nilitegemea aseme yeye ni kiranja wa nchi (Head of state). Na ndio maana ana madaraka ya kuingilia mhimili wowote inapohitajika.
 
sasa povu la nini we mwanamke?
Chama mfu mna katiba ya kidikiteta kuliko vyama vyote vya upinzania Tz, na inaonekana mlitaka mpewe nchi ili mbadili katiba iwe ya kidikiteta zaidi ya hiyo ya lichama lenu marahemu
 
Ya ccm ina ubora gani,kama ndani ya mia 39 mnawenyeviti watano tu,lini mlitoa fursa anaetaka achukue form ya uenyekiti
Je chama lenu marahemu la chadema mlibadili lini mwenyekiti baada ya kuwa mmebadili katiba? tena mnaongozwa na mtu aliyepa zero! Ndiyo maana akili zenu zimekaa ki zero zero na mnachukua watu zero zero
 
UKITAKA KUJENGA NYUMBA IMARA ANZA NA MSINGI IMARA.....sasa ili tuwe na katiba iliyo BORA tuanze kujenga kwanza katiBA zilizo bora ndani ya VYAMA VYETU ESPECIALLY VYA UPINZANI kwanza wanatakiwa waonje uchungu wa katiba unaoangalia MASLAI YA WANACHAMA WAO KWANZA WANATAKA NINI NA SI VIONGOZI KWANZA.....tukilifanikisha hilo ndipo tutaweza PATA KATIBA BORA KABSA YA NCHI HII maana tutatoka na uo msingi wa kuwaangalia wanachama kwanza then tutakuja KUDAI KATIBA INAYOANGALIA MASLAI WA WANANCHI KWANZA NA SI VIONGOZI KWANZA
Leo amesema hakuongelea Katiba mpya kwenye kampeni zake na wala suala la katiba halimo kwenye ilani yake ya uchaguzi. Amewaambia anataka awanyooshe kwanza kwa kutumia katiba iliyopo ndipo afikirie mambo ya kuibadili. Nadhani namba itasomeka vizuri, sasa hivi bado.
 
UKITAKA KUJENGA NYUMBA IMARA ANZA NA MSINGI IMARA.....sasa ili tuwe na katiba iliyo BORA tuanze kujenga kwanza katiBA zilizo bora ndani ya VYAMA VYETU ESPECIALLY VYA UPINZANI kwanza wanatakiwa waonje uchungu wa katiba unaoangalia MASLAI YA WANACHAMA WAO KWANZA WANATAKA NINI NA SI VIONGOZI KWANZA.....tukilifanikisha hilo ndipo tutaweza PATA KATIBA BORA KABSA YA NCHI HII maana tutatoka na uo msingi wa kuwaangalia wanachama kwanza then tutakuja KUDAI KATIBA INAYOANGALIA MASLAI WA WANANCHI KWANZA NA SI VIONGOZI KWANZA

Katiba ya nchi ndiyo inaumba vyama vya siasa. Ilituwe na vyama vya siasa bora ni lazima tuwe na katiba ya nchi inayoweka mazingira bora ya siasa na yaliyo sawa kwa vyama vyote then hayo mengine unayoyasema yatafuata na wala hautatumia nguvu kuyadai, mfano haitakuwa na ulazima rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa ccm.
 
Madudu ya kuwa na mwenyekiti wa kudumu pale Chadema ameyaleta Magu? Mlipo badili gia angani mlishauriwa na Magu? anzeni na katiba ya Chadema kwanza.
 
Mudawote siyo kila anayedai katiba yupo chadema/ccm, katiba inatakiwa kuendena na mazingira tuliopo.
Babati nakubaliana na wewe, ila jambo moja uelewe, watu wengi wanapiga kelele za katiba with reference to chama mfu chadema, eti kisa chama mfu kinasema katiba mpya inahitajika wakati wao li chama lao marehemu lilibadili katiba toka ya kidemokrasia mpaka katiba ya kidikiteta na bado walitaka wapewe nchi ili waitawale kidikiteta
 
Pesa zinatolewa baada ya budget kupita na sheria yake.
Baada ya hapo Accounting Officers wa mihimili hiyo ndio wanasimamia matumizi kama yalivyo idhinishwa na sio wajibu wa rais kusimania natumizi hayo na kuwapangia.
CAG kwa mujibu wa sheria ndiye mwenye mamlaka yabkufatilia kama natumizi yanakwenda kama finance bill ya nwaka husika inavyotaka.
Kama yeye rais ndiye alfa na omega wa fedha za nchi hii kwa nini basi CAG anaikagua ofisi yake na ku raise Audit querries pale ambapo matumizi yahakwenda sawa?
Nadhani mkuu anahitaji semina elekezi ajue majukumu yake na mipaka yake, isije kuwa fikra zake zinamtuma kuwa ukiwa Rais basi wewe ni kila kitu sawa kama ilivyo Mwenyezi Mungu kwa dunia hii
 
Mhe Kikwete alianzisha mchakato wa katiba mpya hakuwa mwanachama wa chadema, siyo kila anayetaka katiba mpya ni chadema au cuf. Mimi sina ushabiki wa chama chochote.
 
Kila mhimili una majukumu yake, na sio sawa sawa kabisa kwa Rais wa nchi kuwa juu ya mihimili mingine.
Magufuli amefanya makosa makubwa sana "Kujifisia na Kuona Fahari" kwa kuitawala mihimili mingine.

KAZI ZA KILA MHIMILI.
1/BUNGE: Kutunga sheria, Kupanga na kuidhinisha matumizi ya Pesa zote za nchi, na kuisimamia serikali.

2/SERIKALI: Kukusanya Kodi, Kuhudumia wananchi na Kuwajibika mbele ya Bunge.

3/MAHAKAMA: Kutafsiri Sheria na kuhukumu.

Ni makosa makubwa sana kwa serikali kuipangia bunge au Mahakama pesa za kutumia. Kazi ya serikali ni kukusanya Kodi na Kuzitoa zikatumike. Ni bunge pekee yake ndio limepewa mamlaka ya kutoa mwongozo namna ya kutumia Pesa zote zinazokusanywa na serikali.

Serikali(Rais) hana mamlaka yoyote kisheria au kikatiba kuzipangia pesa za watanzania zilizokusanywa na serikali kabla ya pesa hizo kuidhinishwa na Bunge.

Pesa zote ni mali ya watanzania, Bunge ndio chombo pekee kilichopewa mamlaka kikatiba ya kuzipangia matumizi hizo Pesa kwa niaba ya Watanzania.

Serikali ni mtekelezaji tu wa mipango ya maamuzi ya Bunge kuhusu matumizi yoyote ya Pesa na kamwe serikali sio mwamuzi wa matumizi ya Pesa za watanzania.

[HASHTAG]#MHESHIMIWA[/HASHTAG] RAIS JIFUNZE HAYO SASA.
 
  • Thanks
Reactions: Awo
Chama mfu mna katiba ya kidikiteta kuliko vyama vyote vya upinzania Tz, na inaonekana mlitaka mpewe nchi ili mbadili katiba iwe ya kidikiteta zaidi ya hiyo ya lichama lenu marahemu
unakifahamu chama mfu lakini we mfuasi wa Sizonje!?
acha kuropoka bhana
 
Kumbe hamsomi katiba kazi yenu kelele kama watu wapuuzi katika upuuzi wenu. Someni katiba kwanza ndio kelele zenu zifuate
 
Kwahiyo Mambo yahusuyo fedha ni ya bunge au Mahakama? nani anaidhinisha izo fedha, maana iyo mihimili ikihitaji fedha,lazima serikali ijue zinaenda kufanyia nini.
fedha ni viwezeshi. sio utekelezaji wa majukumu . mfano hata raisi kuna mtu anamtengezea mshahara na kutuma bank japo ni mdogo ki madaraka. kuidhinisha fedha sio kigezo cha kuwa juu ya mwingine..
 
WANASHERIA/WANASIASA NAOMBA MTAFSIRI HII IBARA YA KATIBA YA TANZANIA

35.-(1) Shughuli zote za utendaji za Serikali ya Jamhuri ya Muungano zitatekelezwa na watumishi wa Serikali kwa niaba ya Rais. (2) Amri na maagizo mengine yanayotolewa kwa madhumuni ya ibara hii yatathibitishwa kwa namna itakavyoelezwa katika kanuni zilizowekwa na Rais, kwa kuzingatia masharti ya Katiba hii.
Hujiulizi kwann sheria zinatungwa na bunge alafu zinaidhishwa na serikali kisha kutumiwa na mahakama????

Mihimili hii mitatu hufanya kazi kwa pamoja pasipo kuingiliana. Yaani kazi ya serikali ni kuidhinisha tu na sio kupanga. Sijui kama nimeeleweka vizuri
 
Back
Top Bottom