Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Hapo nilipobold ndiyo taratibu iliyofuata.Katiba ya Muungano inaweka utaratibu wa vyeo vikuu vya Serikali ya Zanzibar na inaelezea juu ya vyeo vingine au taratibu nyingine kwa mujibu wa "katiba hii (ya MUungano) na Katiba ya Zanzibar". Je Makamu wa Rais wa Zanzibar Seif na Idi wana nafasi yoyote wanapokuja kwenye Muungano. Kwa mfano, wakisimama mawaziri wa Tanzania na Waziri Mkuu wa Tanzania hawa wanasimama kama viongozi wa kitaifa?
Katiba ya Muungano inaweka utaratibu wa vyeo vikuu vya Serikali ya Zanzibar na inaelezea juu ya vyeo vingine au taratibu nyingine kwa mujibu wa "katiba hii (ya MUungano) na Katiba ya Zanzibar". Je Makamu wa Rais wa Zanzibar Seif na Idi wana nafasi yoyote wanapokuja kwenye Muungano. Kwa mfano, wakisimama mawaziri wa Tanzania na Waziri Mkuu wa Tanzania hawa wanasimama kama viongozi wa kitaifa?
Kwenye protokali ya Jamhuri ya Muungano tuna:
Rais
Makamu wa Rais
Waziri Mkuu wa Muungano
Rais wa Zanzibar??
Mawaziri wa Muungano au Makamu wawili wa Zanzibar
Makamu wa Wawili wa Zanzibar au Mawaziri wa Muungano
Mawaziri wa Zanzibar
Wakuu wa Mikoa
Naomba mnisaidie ikoje?

Kiranga, vyeo vya Serikali ya Zanzibar vya juu vimewekwa na Katiba ya Muungano na hata muundo wa serikali yake na nguvu zake uko kwenye Serikali ya Muungano. Ndio maana Rais wa Zanzibar anaapa kulinda Jamhuri ya muungano na kiapo cha serikali ya Zanzibar.
Mimi nina shaka sana kuwa huenda hata viongozi wetu waandamizi katika serikali hawaijui katiba!!
Mimi nina shaka sana kuwa huenda hata viongozi wetu waandamizi katika serikali hawaijui katiba!!
Katiba ya Muungano inaweka utaratibu wa vyeo vikuu vya Serikali ya Zanzibar na inaelezea juu ya vyeo vingine au taratibu nyingine kwa mujibu wa "katiba hii (ya MUungano) na Katiba ya Zanzibar". Je Makamu wa Rais wa Zanzibar Seif na Idi wana nafasi yoyote wanapokuja kwenye Muungano. Kwa mfano, wakisimama mawaziri wa Tanzania na Waziri Mkuu wa Tanzania hawa wanasimama kama viongozi wa kitaifa?
Kiranga, vyeo vya Serikali ya Zanzibar vya juu vimewekwa na Katiba ya Muungano na hata muundo wa serikali yake na nguvu zake uko kwenye Serikali ya Muungano. Ndio maana Rais wa Zanzibar anaapa kulinda Jamhuri ya muungano na kiapo cha serikali ya Zanzibar.
Mwanakijiji:]Mfano mwingine kuhusiana na abstract concept ni kufanya katiba iwe ndogo yenye kueleweka hata kwa mwananchi wa kawaida na yenye kutoa nafasi kwa vizazi vinavyokuja kutafsiri katiba kutokana na wakati wao bila kufanya mabadiliko ya katiba yenyewe. Marekani wana zaidi ya miaka 200 na katiba yao ina kurasa chini ya 40 na mabadiliko yasiopungua 30. Wakati sisi tuna kurasa zaidi ya 100 na bado hakuna kinachoeleweka.