dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,532
[emoji122] nimekupata ndugu umenikumbusha enzi Bwimbwi la Pepeta na MchopekoKule kwetu babu kabla ya kuanza kuvuna mpunga, mnatwanga pepeta au bwimbwi babu anatambika.
Alafu kesho yake mnaanza Kula wali mpya wa mchopeke au ngalang'anyu.Wenyeji wa Ifakara wanaelewa