mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 567
Amefanyia vibaya sana! Sasa hapa ndo kapata faida gani? Halafu na wewe ulipiga picha huyu uoni ka ni unadhalilishaji huyu mama?! Ungekuwa wewe ungependa uwekwe wazi wazi hivi mtandaoni?
Du wanaume ni wanyama sana
Du wanaume ni wanyama sana
na pia si watu wote wana nafasi ya kupata habari kupitia magazeti au redio kuna wengine wako nchi za nje wanategemea kupata habari za nyumbani kupitia mitandao ya kijamii, mzizimkavu, saint ivuga, etc.Nadhani kafanya hivo kufikisha ujumbe bila chenga maana hata humu JF haiyumkini kuna Wanaume wenye tabia za kishenzi kama hizi kwa wake zao
Mwanamume mimi ni mwanamke sana ( Iwapo wanawake ni watakatifu hivyo)
mi nimeona necklces/chains za rotary. So hiyo ni event ya rotary.
Mkuu unaonekana uko mbali sana na Newz!hizo necklaces niza rotary, gloves huvaliwa hata kwenye misiba.
unataka kujiunga tukufanyie mpaego?