Ibada ya asubuhi 💦 - karibu tuzogoe 🤭!

Ibada ya asubuhi 💦 - karibu tuzogoe 🤭!

Wanawake wanasema wanaume matapeli WA mapenzi na wanawake nao wanaume matapeli.Tapeli ni nan na ukweli ni upi 🤔🤔🤔
 
Nilikua nafikiri nakijua Kiswahili chote,kumbe nilikua najidanganya tu!
Hapo kwenye Red sijaelewa kitu!
Mvunja barafu bwana!!! ulikulia wapi?? utoto wako ulikuwa wapi wewe??
Pamela nkutha ni mwanamuziki wa kisouth africa kama sijakosea alitamba sana miaka hiyo.

Hizo nyimbo tulikuwa tukiillngilia ukimbini ma bibi harusi na ma bwana harusi wadogo enzi hizo,, huku tukimwaga maua saa sita hapo maharusi wanakuwa nyuma yetu.
 
Yani hua natamani niwasiliane na wewe pm ujue kua hata hiki ninachokiandika hapa,najitahidi sana.
Box kitambo sana,since teenager.
 
Yani hua natamani niwasiliane na wewe pm ujue kua hata hiki ninachokiandika hapa,najitahidi sana.
Box kitambo sana,since teenager.
Sio mbaya best,
Kwa hiyo hata kombolela hukucheza? barua za kuchora moyo na mkuki hujaandika!!? disco la kubambiana boys na girls hujacheza hujasoma barua zilizobusiwa na lipstick 💄

Wenzio hayo yalikuwa maisha ya utotoni,, tupe utoto wa huko mambele ulikuwaje?
 
Back
Top Bottom