Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 56,026
- 56,110
Kuna miandiko unaisoma kwa hisia kaliHaa haaa, nini kimetokea?
Kuna miandiko unaisoma kwa hisia kaliHaa haaa, nini kimetokea?
Ndoa ina magumu yake, ila mkikutana wote mnaendana na hamchoki kutafuta namna ya kuconnect na kufurahishana despite the challenges, basi mtaifurahia.Ukisoma hizi nyuzi utasema ndani ya ndoa ni kama Peponi vile.
Mkuu si ulisema una mke na michepuko wawiliWale ambao hatuna wake mada hii inatuhusu kweli? Au tusubiri inakuja nyingine 4us?
Sawa kaka wane!maisha yangu binafsi hayawezi kuathiriwa na utani wa humu jf.
Mbona unazaa kama mashindano?Mimi nimeoa na baba wa watoto watano.
waoaji tupo 😎mie nimezoea au niolewe 😎
Katika hayo matapeli chambua tapeli unayeweza kuvumilia utapeli wake weka ndani mambo mengine yaendeleeHuyo sahihi unampata wapi dunia hii ya matapeli
Pole, kama vipi mbato tena tu, si mkeo au?Kuna miandiko unaisoma kwa hisia kali
Kulombana kupo, nyeto nayo ipo pale pale 😎Oa wewe, acha uzembe!
Au unawasikiliza akina Mbaga Jr na secretarybird ? hao wanawaponza tu, wenzenu wana wake zao na kila siku wanawaamsha kwa kuwachapa na midushelele yao.
Nimeshindwa kabisa!! acha nilee ndoa.Hujaenda Misa ya 2
Kwani inakuwaje we mpare unakua huridhiki na kipochi manyoya?Kulombana kupo, nyeto nayo ipo pale pale 😎
Siku akifilisika anakula teke mpaka anaenda kuangukia Feri kwenye soko la Samaki,Ndoa ni pepo ya duniani hasa ukimpata na kuoa au kuolewa na mtu sahihi
Nipo in love na comment zako 🤣Katika hayo matapeli chambua tapeli unayeweza kuvumilia utapeli wake weka ndani mambo mengine yaendelee
We si mdogo wangu kabisa imekuaje tena 🤣🙌🏼waoaji tupo 😎
Hiyo el nino ya upepo ndiyo ikoje? hebu nielekeze nikiipenda nitamuita aje asome maelezo yako halafu anifanyie baadaye.Kuna vitu anaweza kia anakosa hakuna aliekamilika, inabidi nikupe vitu tofauti, mfano kuna staili inaitwa elnino ya upepo
Hakuna man anayeweza kuridhika na kipochi manyoya ndo mana tunaweza kwenda hata raundi tatu kwa muda mfupi, ila nyeto ndo inamaliza genye lote ndo mana sio rahisi kurudia kwa muda mfupi 😎Kwani inakuwaje we mpare unakua huridhiki na kipochi manyoya?
Duuuh sitaki kuamini kama ni wanaume wote mko hivi!Hakuna man anayeweza kuridhika na kipochi manyoya ndo mana tunaweza kwenda hata raundi tatu kwa muda mfupi, ila nyeto ndo inamaliza genye lote ndo mana sio rahisi kurudia kwa muda mfupi 😎
Wengine tuna madeni ,maokoto hakuna yaan vyuma vimekaza ukinigusa tuu mashine inalala mazima mpaka upepee masaa 2Nini sasa hapo kinakushinda?
The truth is everyone is going to hurt you,Katika hayo matapeli chambua tapeli unayeweza kuvumilia utapeli wake weka ndani mambo mengine yaendelee
Zifanyie kazi mdogo wangu. kuna muda maisha yanahitaji uende binti la Pamela nkutha ufike unakotaka.Nipo in love na comment zako 🤣