Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
Ndugu watanzania kesho jumanne saa 10:00jioni tutakuwa na ibada kanisa kuu la Mt.Joseph Posta mpya kutafanyika ibada maalum ya kumuombea ndugu yetu Dr.Mvungi ili apate nafuu katika maumivu aliyonayo na Mungu amsaidie apone haraka. viongozi wa dini mbalimbali watashiriki, vyama vya siasa, asasi na watanzania wote tutaungana kesho kwani Katiba mpya inahitaji mchango wake mkubwa.