napingana sana na heading ya uzi wako. wengi wanaweza kabisa kujibu hilo swali. sema labda majibu yao yatakua sahihi au? "I am sure most of you can't answer this question correctly" ungeandika hivo mh hata mimi nahisi nisingeweza kujibu.
because i eat..teh, kimsingi kila kiumbe kina sababu ya ke ya kuwepo hapa duniania au katika ulimwengu huu. mfano mimea ipo kwa sababu ya kutufanya viumbe sisi tuendelee kuishi, na sisi tukiwa kama roho tumekuja kwa ajili ya kupata experience, knowledge and intellect, hivi ndio vitu vya msingi hasa ambavyo vita kufanya uweze ku reach malengo ya wewe kuwepo hapa na sabababu yangu ya kuwepo hapa duniani haifanani na yako au mwingine kila mtu ana yake, hiyo home work ina kuhusu wewe.
So in the short term, reading your question, you HAVE forged a purpose - of finding a purpose. You have set your feet on a journey traveled by many of your fellow humans.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.