Iam looking for male/female friends

Iam looking for male/female friends

Umeingia na honi nyingi sana,easy! Sometimes good friends hutokea vile kutokana na jinsi unavyo interact humu ila sio kwa biti hizi!
 
hello jf!!
hope you are doing fine!
am aggie from dar,am looking for friends wa kufahamiana nao tu na kuwa marafiki cz naboreka!
jinsia zote wanakaribishwa ila sitaki wenye mambo yakihuni gals usiwe mmbeya wala kigeugeu!
this is all about making connections!
am a single girl...wa kawaida sio wa kishua...23 years pia old...fair black ...mengine utayajua pm!
karibu!
[OTE="AGGIE CHIEF, post: 15248755, member: 351218"]hello jf!!
hope you are doing fine!
am aggie from dar,am looking for friends wa kufahamiana nao tu na kuwa marafiki cz naboreka!
jinsia zote wanakaribishwa ila sitaki wenye mambo yakihuni gals usiwe mmbeya wala kigeugeu!
this is all about making connections!
am a single girl...wa kawaida sio wa kishua...23 years pia old...fair black ...mengine utayajua pm!
karibu![/QUOTE]
hlw mrembo njoo faster
 
Hello JF,

Hope you are doing fine!

Iam aggie from Dar, am looking for friends wa kufahamiana nao tu na kuwa marafiki coz naboreka! Jinsia zote wanakaribishwa ila sitaki wenye mambo ya kihuni gals usiwe mmbeya wala kigeugeu!This is all about making connections! Iam a single girl, wa kawaida sio wa kishua 23 years pia old fair black, mengine utayajua pm karibu!
Mwaya ucwackilize hao mm naweza kuwa rafiki yako
 
Ulichoandika na hitaji lako ni vitu sahihi kabisa. unaweza kupata rafiki mwema humu.i am speaking out of experience.
 
Aiseee umeshapata wa kutosha uko nije niunge collabo?
 
Hello JF,

Hope you are doing fine!

Iam aggie from Dar, am looking for friends wa kufahamiana nao tu na kuwa marafiki coz naboreka! Jinsia zote wanakaribishwa ila sitaki wenye mambo ya kihuni gals usiwe mmbeya wala kigeugeu!This is all about making connections! Iam a single girl, wa kawaida sio wa kishua 23 years pia old fair black, mengine utayajua pm karibu!
unfanyanini ili kusukuma gurudumu la maisha?
 
Njoo PM AGGIE
mie pm yangu siwezi kutuma
mabadiliko ya Jf yameniacha majeruhi
 
Back
Top Bottom