Iam Lonely

Sababu kubwa ni zile nilizozitaja kwenye jukwaa la sheria. Nimesimamishwa kazi najihisi mpweke sana. Any one wa kunifariji hapa jamani.

Mkaribishe MUNGU maishani mwako nawe tazama! utakuwa mpya. Jichanganye na watu..
 
Dorrice...nmemaanisha tu sema interests zako..ma hobbies n th like...inakua rahisi hata mtu anapowasiliana na wewe anajua kama u share common interests.
 
Last edited by a moderator:
hivi hata ukiachishwa kazi unakuwa lonely? Ama unahuzunika tu?

Pole lakini
 
Do not wallow in self pity. Life has its challenges. Pick up your life and move. There is more to life than being imprisoned by the so called employers. The capabilities to succeed are built within you. Unleash them!
 
Sababu kubwa ni zile nilizozitaja kwenye jukwaa la sheria. Nimesimamishwa kazi najihisi mpweke sana. Any one wa kunifariji hapa jamani.

wafanyabiashara wakubwa wameanza hivi Dorrice..chukua positives hapo na usonge mbele..weka u-sista do pembeni juhudi italipa utaona..
 
Last edited by a moderator:
jamani tunatumia vibaya hii am lonely

ye mwache tu...hapa JF neno moja tafsiri kibao kulingana na jukwaa husika...
ukivua kyupi ukaenda JF mafoto watu watanyanyua kamera zao.
sasa fanya hivyo MMU uone utavyopokelewa na wakware wenye uchupa.
 
Pole kwa maswahibu yaliyokukuta, jipe moyo utashinda huo mtihani wa kuwa lonely.
 
Back
Top Bottom