Iam going Public as we a approach to 2014

Iam going Public as we a approach to 2014

Hongera kwa hatua hii..wengine tutumie tu avator fake mana tukiweka halisi hapa mh
 
Hayaongeza tuone japo kidevu na ndevu sasa ishafika tar 27 bado siku nnee tu....siku zinavyozidi kwenda wapandisha kiungo kimojakimoja....mdomo,then pua,then macho,then FULL SURA weweyaaaaa:redface:
 
Hayaongeza tuone japo kidevu na ndevu sasa ishafika tar 27 bado siku nnee tu....siku zinavyozidi kwenda wapandisha kiungo kimojakimoja....mdomo,then pua,then macho,then FULL SURA weweyaaaaa:redface:

hahaha....sawa mkuu.
 
Hujaamua tu kuweka sura so we focus less on the nyonyos?

hahaha mtoto wa kike una maneno wewe.haya what's so special na nyonyos kaasi huwezi hata ku focus less.?
 
Dada acha ukorofi...muache kadoda11 wa watu...unataka adode mwenzio?

PLL happy holidays...nashukuru kwa kuligundua hilo ndg yangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom