Sijawah kuwaza kutafta ajiraNi kweli tatizo la ajira ni kubwa sana.
Lakini tusidharau nguvu ya elimu. Inawezekana kabisa haijakupa kazi au kipato lakini elimu hii imesaidia dunia na watu wengi mno.
Mtaala wa nchi yetu tunaandaliwa kwa ajili ya kuajiriwa, lakini siyo swala la elimu kukupa ajira. Serikali ndiyo ya kulaumiwa katika hili na kamwe si elimu.
Kama ajira imekuwa mbinde basi mtaala ubadilike kuwaandaa vijana wetu katika kuwa wavumbuzi na elimu ya kujiajiri.
Serikali na waandaji wa sera hawakuwaza ni lini ajira zitakuwa kikwazo ili kubadilisha mfumo kuzalisha watu wa kujitegemea baada ya masomo yao.
Tusiilaumu Elimu.
Elim haikupi akili, elim hutenga walio na akili na wasio na akili basnyinyi ni wale wako na degrees only on paper na sio kwa kichwa or in your brain, unaweza aje kusema la 7 ndio bora, angalia vile taifa liko kwa kukosa elimu bora, usawasikia wambunge wa la 7 kina musukuma hakuna hoja yeyote ya maana wanaleta pale dodoma, na ndio sababu ccm inawapenda watu kaa wale, wewe sema YOU ARE SCHOOLED AND NOT EDUCATED