I wish I had a husband already

Nitapambbana nae hivyihivyo mpaka atakaa kwenye mstari na kuwa mume bora
 
Huyu ma,la,ya anatafuta harusi tu, akishaolewa hatamaliza miaka 5 bila divorce siombei hilo ila ndio nachokiona tokana na pride alionayo na bila shaka ndi kilichomfanya yupo single hana hata mchumba!
Go to hell [emoji57]
 
Wapare si ni wafupi by nature.

Wanawake walio wengi wanavutiwa na pesa then looks, ndio maana mwanaume hata awe sura mbaya vipi ila akiwa na pesa anamgombaniwa, wanaume wanavutiwa na looks kwanza.
 
Duuuh!! Kumbe mkwe una maneno makali hivi!!!!

Ila mwandiko wa kiume huu.
Huyu ma,la,ya anatafuta harusi tu, akishaolewa hatamaliza miaka 5 bila divorce siombei hilo ila ndio nachokiona tokana na pride alionayo na bila shaka ndi kilichomfanya yupo single hana hata mchumba!
 
I think we should be moving there together honey isn't it fun? Playing with hellfire sounds awesome!
I don't belong there my dia..the type of words u used in your previous comment show that hell is where you belong unless you change your attitude..
 
Nyerere alipiga sana vita ukabila, naona taratibu mnaanza kutubagua kwenye mahusiano based on our tribes, nyie haya tu!!![emoji39]
 
Wapare si ni wafupi by nature.

Wanawake walio wengi wanavutiwa na pesa then looks, ndio maana mwanaume hata awe sura mbaya vipi ila akiwa na pesa anamgombaniwa, wanaume wanavutiwa na looks kwanza.
Hahaha mbona mie wazee wangu unaeza sema wametokea umasaini! Ni matolu wote, ufupi its just a genetic issue! Kama ndugu zangu wangu wote ni matolu 185cm+ ila mie ndio mfupi it shows hata mie nina T kubwa ndani yangu so its likely ntakuja kuwa na watoto warefu mbeleni!
Kuhusu kupenda pesa ni ipo sana kwa jamii za watu maskini hata huko ulaya, Watu ambao baba zao wali win mapema wakakulia katika Lavish lifestyles hata hawababaikagi na hela! Anaenda anapata zake ila hutamskia akimsumbua mumewe eti kisa ana pesa, maskini ndio tunaleteanaga shida!
 
Kumbe we mfupi ndo maana povu limekutoka calling me names
 
Huyu espy sijui ana nini na wapare, sijui amewahi kudate na wapare wangapi, manake reference zake nyingi ni wapare, haoni waluguru, wapogoro, wakinga nk. Huenda tumemtenda sana manake thithi bwana!![emoji39]
 
I don't belong there my dia..the type of words u used in your previous comment show that hell is where you belong unless you change your attitude..
Really? What about dissing the short guys words,hope they feel sweet as chocolate mosaic cake huh! Too bad,, i don't think you are the creator of all the world and its creatures so we should be definately dancing with the devil "the sister"!
 
Wapare si ni wafupi by nature.

Wanawake walio wengi wanavutiwa na pesa then looks, ndio maana mwanaume hata awe sura mbaya vipi ila akiwa na pesa anamgombaniwa, wanaume wanavutiwa na looks kwanza.
Acha urongo [emoji39], wapare ni wafupi by nature kivipi, makabila mengine hayana breeds fupi...

Hapa natetea origin yangu tafwazali!!!
 
Huyu espy sijui ana nini na wapare, sijui amewahi kudate na wapare wangapi, manake reference zake nyingi ni wapare, haoni waluguru, wapogoro, wakinga nk. Huenda tumemtenda sana manake thithi bwana!![emoji39]
Mi ni mpare Bro ila sina mambo ya kiduanzi kama anavyotu judge bibie espy
 
Inabidi tumuandane hadi aache kutubagua, Nyerere alikataa ubaguzi [emoji23][emoji23][emoji23] au kama unaweza umtongoze ajue swagga zetu mkuu.
Tatizo atakuwa mke wa mtu huyu, hahahaah atakuwaga alisha date na mpare akamzingua
 
I think i deserve,nipo hapa! Njoo the sister
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…