I will stand with Lissu also I'm ready to share my blood

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,921
45,357
My political party Chadema now we expect to rule this country in few days ahead.

So as this will not be done through ballot box without Free and fair election.

The time of pleading new constitution and independent electrol commission is out, how we will do!

But I want to insist JP to respect our desicion through ballot in order to protect our peace and security.

No hate, no fear
 
Kwa mambo yanavyoendelea Tanzania wengi watamuunga mkono Lissu.

Tatizo ni jee chama chake kitampaa ridha ya kugombea, Mwenye Chama atampisha Lissu kweli.

Upinzani wataungana, Jee Chadema iko tayari kujitosa kwenye myungano wa vyama, tena safari hii wakiambiwa mgombe atatoka chama kingine na lazima ajiunge nao kama ilivyokuwa kwa mgombea wa CUF.
 
Mbona tulisha wapa Nyalandu? Tunaona hamridhiki tumewaongezea na Membe. Kumbuka hao wote ni kwa faida ya CCM kama alivyo tamka ndugu Sumaye (mwenyekiti mkoa wa Pwani!).
 
owomkyalo,

Mbona hii ingependeza sana kama ungeiweka kwenye lugha yetu nzuri mkuu 'owomkyalo'.

Ulivyoiwasilisha hivi unainyima uzito wake sahihi.

Kama ni njia ya kujifunzia hiyo lugha nyingine, bado sana, itabidi uweke juhuzi zaidi, na sio katika njia hii uliyotumia hapa.

Sijatukana, wala sijakudharau. Ni ukweli tu.
 
owomkyalo,

Keyboard warrior at work ,when it comes to real action key board warrior hides in the toilet. Maandamano ya Mange Kimambi uliufyata UKAJIFUNGIA CHOONI.
 
Mbona hii ingependeza sana kama ungeiweka kwenye lugha yetu nzuri mkuu 'owomkyalo'.

Ulivyoiwasilisha hivi unainyima uzito wake sahihi.

Kama ni njia ya kujifunzia hiyo lugha nyingine, bado sana, itabidi uweke juhuzi zaidi, na sio katika njia hii uliyotumia hapa.

Sijatukana, wala sijakudharau. Ni ukweli tu.

Punguza dharau zako bwana!
 
Kwa mambo yanavyoendelea Tanzania wengi watamuunga mkono Lissu.

Tatizo ni jee chama chake kitampaa ridha ya kugombea, Mwenye Chama atampisha Lissu kweli.

Upinzani wataungana, Jee Chadema iko tayari kujitosa kwenye myungano wa vyama, tena safari hii wakiambiwa mgombe atatoka chama kingine na lazima ajiunge nao kama ilivyokuwa kwa mgombea wa CUF.
Yaani tujiunge na vyama vingine ili MEMBE awe mgombea akishindwa badae akianza kufilisiwa aunge juhudi nakutukuza JIWE akiponda upinzani kwamba hakuna lolote! chadema imenyooshwa na Lowasa sioni tukirudia hilo kosa ACT wanapambana kukuza chama chao wakiamini watapata wabunge wengi kitu hawataki kuelewa wabunge waliokuja na mafuriko chadema wote wameunga juhudi so binafsi nashauri kama Lisu atapitishwa na Chadema vyama vingine vimuunge mkono lkn sio MEMBE huyo amekuja upinzani kwa hasira yakung'olewa chamani mwake kuliko kumuunga mkono huyo jamaa Chadema tubaki wenyewe
 
You have narrated the whole truth. Mi nadhani Mh magufuli ajitafakari kama anadifa za kugombea tena asipoteze muda
Ndio maana wakisikia Lisu anarudi povu la waimba pambio halikauki Ila Mungu ni Mkuu Lisu atakuja na kitaeleweka!
 
Sijajua ni lipi kati ya haya mawili hamna, AKILI/MACHO bi maana mambo yapo dhahir bin shahiri katika nyanja zote Ila naona vitajwa hapo juu vimewa wacha;

AKILI
Huu ni uwezo wa ku analyse situation na kutoa conclusion. Hapa utazingatia vitu vitatu kama FACTORS za kufanya hiyo analysis navyo ni PAST, CURRENT NA FUTURE.

Tafakari kisha utuambie kiunaga ubaga sio kutujia na mihemko uliyoihuisha katika lugha ambayo wewe mwenyewe huimanyi.

Aidha;
Swala la Bernard Membe kujiunga ACT WAZALENDO hizi ni akili kubwa sana za zito alizozipiga na ndani ya sakafu ya moyo wake anajua hawanii urais bali ana Mambo mawili ambayo he is very close to getting;

1. Kuwa next KUB kwa kutegemea uwepo wa wabunge wengi toka Zanzibar na Kusini mwa Tanzania (Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma).

2. Kwa kutumia upepo wa Bernard Camilius Membe kama Freeman Aikael Mbowe alivyotumia wa Mhe. Edward Ngoyai Lowassa anatarajia kujiongezea vikura kwenye uchaguzi ambavyo vitamuwezesha kuongeze fungu la Ruzuku ili kupunguza kutembeza bakuli kukiendesha chama.

Wasalaam
 
Back
Top Bottom